KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Mama Vanessa Sehemu Ya kumi na tatu (13)


Hadithi nzuri ya kusimumua ya mapenzi

Kama hiyo haitoshi Mama Vanesa akaanza kumpigapiga na makalio yake kama vile anacheza taarabu au sebeene.Eeeh utamu ukakolea Mama Vanesa akasimamia magoti na mkono kama mbuzi.Eeeh ndo inaitwa mbuzi kagoma kwenda.

Bao la Lucas lilipotelea hewani na sasa aliamua kutoa ushirikiano.Ailinyanyua kichwa kisha akapiga magoti.Hapo kila mtu alijituma ili kumaliza raundi hizo za muda mrefuuuu.

“iiiiisssssssssshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,yeees,ooooo,,heeeee,,hiyoooooooooooooooooooooooo hiyoooooooo” Lucas alijikuta akipiga makelele mara baadaya kuona wazungu weupe wakigonga gonga mlango wa kutokea.Na mama Vanesa hakuwa kimya sauti za huba zilimtoka yaaani “uyuyuyuyuyuyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu babeeeeeeeeeeeeee asasnteeeeeeeeeeeeeeee chaaanaaaaaaaaaa” Kisha wote walikuwa kimya maana tayari walimaliza kwa pamoja.*

Hakuna ambaye aliyeweza hata kuongea. Wote walikuwa kimya wakisikilizia utamu utamu walichokifanya. Walikuwa wamechoka sana na kufanya wote wapumzike. Walivuta shuka na kujipumzisha. Kila mtu alikuwa mwenye furaha kwa raha walizopatiana. Kausingizi kazito kalizidi kuwanyemelea na baada ya muda mfupi walipotelea ndotoni. Ilikuwa ni furaha sana kwa Lucas kupunguza machungu na kuanza kulipa kisasi kwa kulala na mke wa boss. Pia ilikuwa ni furaha sana kwa Mama Vanesa maana alipata raha ambayo alikuwa hajaipata kwa muda mrefu sana. Alitamani sana kama mwanaume wake angekuwa akimpa hayo mapigo. Lilikuwa ni swala la furaha kwa wote na walilala usingizi kama mke na mme.
CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Asubuhi ilifika na waliamua kumalizia tena rundi ya asubuhi. Cha asubuhi kilikuwa kitamu sana na baada ya hapo walingia kuoga na kwenda kupata kifungua kinywa. Walikunywa supu na baada ya hapo walianza kupanga mikakati yao ya kufanya.

“Lucas asante sana jana umenipa penzi tamu ambalo sijalipata tangu niingie kwenye ndoa. Wewee ni mwanaume lijali.

“Nashukuru Mama Vanessa hata mimi nimefurahiswa sana na nakiri wewe ni mwanamke mtamu kuliko hata mapenzi yenyewe.”

Wote walifurahia na kuendelea kuweka mikakati huku mama Vanesa akisisitiza na anatamani raha hizo ziendelee milele katika maisha yake. Mama Vanesa aliongea kwa hisia sana na alionesha ni jinsi gani alivyokuwa amechoshwa na penzi la baba Vanessa. Hadi muda huo mama Vanesaa alikuwa hajawasha simu. Na alikuwa hataki kufanya hivyo mpaka hapo atakapofika nyumbani.Alijua kabisa ugomvi wake utakuwa mkumbwa sana.

“Kwa hiyo Lucas mimi kwa raha nilizozipata naomba tuendelee kuwa wapenzi wa siri. Kama tatizo ni pesa, hilo niachie mimi nitakusadia utafanikiwa ..Nihadi kama utaweza huu mpango.

“Nitaweza mama Vanesaa lakini mwish wa hili ni nini?”

“Utakuwa aumelipa kisasi na dawa ya kisasi ukilipe kwa muda mrefu..Tusiwe na haraka sana maana hatutafanikiwa kama baba Vanesaa akigundua kwa haraka nia yetu.

“Sawa mama Vanesa mimi nipo tayari kwa yote ila hakikisha unanisaidia kutoka kwenye hali hii ya umasikini..

“Hilo ondoa shaka kwa kuanzia …” alisita kidogo kisha kuvuta mkoba wake na kutoa hundi. Alimwandikia pesa ya kutosha ili aende kutoa banki. “Hii itakusaidia ulipe kodi na ningekushauri kama ungeweza hama Musoma..

“Kwa nini nihame Musoma?

“Kwa sababu za kiusalama maana baba Vanesa sio mtu mzuri kabisa anaweza hata kutoa uhai wako..

“Sawa basi nitahama kwa kuwa kodi yangu na yenyewe imeisha lakini….”Lucas kabla hajamaliza alikatishwa.
Powered by Blogger.