KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo: Mama vanessa Sehemu ya ishirini na tatu (23)

Hadithi nzuri ya kusimumua ya mapenzi ya mama vannessa
Kila mmoja aliongea maneno ya hisia usiku huo. Na kila baada ya mazungumzo machache nyege zao ziliamka na kuanza tena kupapasana kabla ya kupeana penzi. Walifanya yote na kila wawezalo ili mradi kukata kiu ambayo kila mmoja alikuwa nayo juu ya mwenzake. Walirudi mkoani kwao na kila mmoja aliendelea na ratiba yake. Lucas likizo iliisha na alirudi chuoni.Mishel alisoma kwa bidii sana na baadaye alifanya mtihani wa kidato cha nne. Ilivyo bahati kwa masomo yale ambayo aliyarudia alifaulu kwa kiwango kikumbwa sana. Hili limstaajabisha hata Lucas. Kwa jinsi binti huyo alivyokuwa bize kwa mambo ya dini na Mungu hakuwa na imani kama angeweza kufanya vizuri. Sasa akawa amepeta nafasi za kusoma kidato cha tano. Mishel akamwambia kuwa anataka kusoma masomo ya kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja badala ya miaka miwili. Walibishana lakini Mishel alikomaa na anachokiamini kwa madai kuwa umri wake ulikuwa umeenda sana.

Imani yashinda yote Mishel alifanya kama alivyoamini na Mungu aliendelea kuwa upande wake. Alisoma kama mtumwa huku Lucas akijinyima kwa kila hali kumlipia ada. Mwaka mmoja ukakatika kwa haraka na kipindi hicho Lucas alikuwa ameshamaliza chuo yupo mtaani akirandaranda na bahasha ya kaki kutafuta ajira. Hiki kipindi kilikuwa kigumu sana maana Mishel alihitaji sapoti lakni Lucas hakuwa na uwezo. Hatimaye kwa kuunga unga Mishel alifanikiwa kuuliza form six. Matokeo yalipotoka bado alistaajabisha ulimwengu kwa kufaulu. Safari ya chuo ikaanza na kidogo ilikuwa yenye haueni kwa Mishel alipata mkopo. Alisoma chuo kwa raha mpaka akamaliza. Na ndio ikawa fursa ya wawili hao kuoana.

Kumbukumbu hizi ndizo huwa zinamliza Lucas na kumfanya hata hashindwe kupokea simu ya Mishel. Neno “nimekukumbuka mme wangu” aliyoandika mara baada ya yeye kusita kupokea simu zilimfanya akumbuke mengi sana. Alikumbuka yaletayo furaha na zaidi pia alikumbuka yaletayo huzuni.

“Nimetoka naye mbali sana, nimemlea, nimemtunza lakini bado ameamua kuiacha. Naamini kweli tabia ni kama ngozi ya mwili kuibadili ni shughuli. Si mara yake ya kwanza kunisaliti, amerudia tena na huwa ananiacha kwenye kipindi kigumu. Lakini atanikumbuka na Mungu atanilipa”. Lucas ni kama vile alichanganyikiwa maana maneno hayo alikuwa akiyaongea pake yake. Chumba alichokaa alikiona kidogo. Alisimama na kuzunguka zunguka kama taira.Ni usiku lakini mawazo kuwa apike nini au atakula nini yalimwishia. Akafungulia sabufa yake na kuweka mziki mkumbwa. Mara mlango wake uligongwa. Alishtuka kidogo maana hakutarajia mgeni na wageni wake huwa ni wawili tu mama Vanesa na Kimaro. Alijinyanua kizembe na kwenda kufungua mlango. Macho yalishangaa moyo ulimdunda kupita kiasi mara baada ya kumuona mwanamke ambaye hakujua amafikaje fikaje hapo na nani kamwelekeza.*****Je mwanamke huyo ni nani?

“Upweke ni ugonjwa mbaya sana huku duniani na upweke unaweza kukufanya ukawaza mambo mengi yaliyopita na kujikuta mwenye huzuni. Nimegundua utakuwa mpweke sana usiku huu na nimeona walau nije nikufute machozi yako”

Inaendeleaa
Powered by Blogger.