KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora Sehemu Ya Sita (6)

SIMULIZI NZURI YA KUSISIMUA
IMEANDIKWA NA : ATHUMAN JAY

"Kumbuka Rozi tumekubaliana nini pale mchana mambo yetu tuyafanye kwa siri, sasa kama ndio hivi si ni mapema tu tutajulikana?" Japhet alimuuliza Rozi. Lakini Rozi wala akumjibu kitu akaenda kupanda kitandani kwa kijana huyo na kujilaza. Japhet naye akapanda kitandani na kuanza kumtomasamasa Rozi kwani alishajua nini amefuata. 

Licha ya mchana kuwa wameburudishana lakini hamu ya kimwili bado ilikuwa inawasumbua hivyo Japhet akamvua Rozi kanga yake moja aliyoivaa na kumuacha mtupu ili wapate kufanya mambo yao. Lakini kabla hata awajaanza kufanya hicho kitendo Mara ghafla mlango wa chumbani kwa Japhet ukagongwa kwa Mara nyingine tena. 

Japhet na Rozi wakashtuka sana na kuangaliana usoni maana jibu lilikuja ni rahisi tu huyo mgongaji wa mlango ni Flora Shemeji yake Japhet. "Mmh Shemeji Flora huyo anagonga mlango, inabidi Rozi ujifiche uvunguni" alisema Japhet kwa sauti ndogo ya chini. "Sawa nitajificha lakini anataka nini usiku wote huu mpaka aje kukugongea mlango?" Rozi alimuuliza Japhet naye pia kwa sauti ya chini. "Kuhusu hilo mimi sijui kwanza ingia uvunguni halafu mambo mengine yatajulikana baadae" alisema Japhet.

Basi ikabidi Rozi achukue kanga yake na kuivaa halafu akaingia chini ya uvungu kujificha ili asionekane kama Flora ataingia humu ndani. Baada ya hapo Japhet akawasha taa ya chumbani na kuelekea mlangoni huku akijifanya ana uchovu mwingi wa usingizi. Alipoufungua mlango macho yake yakagongana na macho ya Shemeji yake Flora aliyekuwa amejifunga taulo jeupe tu kwa juu kifuani huku mapaja yake yakiwa nusu yapo wazi chini. "Vipi Shemeji mbona usiku hivi kuna tatizo?" Japhet aliuliza.

"Hakuna tatizo lolote Shem wangu, Ila nilikuwa na shida kidogo tu na wewe naomba uniruhusu niingie chumbani kwako" alisema Flora huku akitabasamu. Japhet alibakia ameduwaa kwani akujua huyu Shemeji yake alikuwa na shida gani huku ikiwa humo chumbani kwake yupo Rozi aliyejificha chini ya uvungu wa kitanda!.

Japhet alibakia alibakia ameduwaa kwani akujua huyu Shemeji yake alikuwa na shida gani na huku ikiwa humo chumbani kwake yupo Rozi aliyejificha chini ya uvungu wa kitanda. "Kwani Shemeji ulikuwa na shida gani?" Japhet aliuliza.

"Mmh yaani we Shem acha tu, niruhusu niingie ndani nitakuambia" Flora alisema.

"Hapana Shemeji kukuruhusu kuingia chumbani kwangu hiyo itakuwa ni makosa, kumbuka wewe ni Shemeji yangu na isitoshe pia saa hizi ni usiku sana" Japhet aliweka msimamo wake.

Flora akacheka kidogo halafu akauliza:

"Kwani mimi nikiingia humo chumbani nani atajua kwa muda huu?" Flora aliuliza. "Sawa hakuna atakaejua lakini kama una shida ni bora uniambie hapahapa mlangoni, afadhali ingekuwa ni mchana" Japhet alizidi kumkomalia Shemeji yake.

Flora akajifanya kama vile analifunga vizuri taulo lake alilolivaa akalifungua na halafu akalifunga tena mwilini mwake. Wakati alipolifungua Japhet akapata nafasi ya kuuona mwili wa Shemeji yake vizuri kuanzia juu kifuani akayaona matiti yake na chini akaweza kuiona Chupi nyeupe aliyoivaa Flora kwa ndani.

"Basi sawa kama umekataa nisiingie chumbani kwako, njoo sebuleni nikuambie shida yangu" alisema Flora huku akigeuka na kuelekea sebuleni.

Japhet naye akatoka hapo mlangoni na kumfuata Shemeji yake kwa nyuma.

"Huyu Shemeji naye kwani ana shida gani saa hizi usiku? mbona mimi simuelewi" alijisemea moyoni kijana Japhet.

Alichokumbuka Japhet wakati anatoka pale mlangoni ni kuusindika na kuufunga vizuri kwani asingeweza kuufunga kwa nje funguo ilikuwa ipo kwa ndani kwenye kitasa cha mlangoni. Baada ya kufika sebuleni kila mmoja akaenda kuketi kwenye kochi lake huku taa ya sebuleni hapo ikiwa inawaka. Japhet akaiangalia saa kubwa ya ukutani ikamjulisha kuwa ni saa 09:30 za usiku. "Haya Shemeji niambie nakusikiliza" alianza kwa kusema hivyo Japhet. 

Flora kwanza akatabasamu halafu akaweka pozi la kihasara hasara kwa kukunja NNE mguu wake mmoja na kuuweka juu ya mguu mwingine kitendo kilichopelekea taulo alilovaa kupanda kwa juu na kuyaacha wazi mapaja yake manene yenye mvuto. "Sijui hata nianzie wapi kukuambia Shemeji, yaani najisikia mpaka aibu" alisema Flora huku akijiinamia na kuchekacheka kimtindo. Japhet alibaki anashangaa kusikia hivyo akajiuliza moyoni kwanini sasa aone aibu. "Shemeji wewe niambie kwani kitu gani?" Japhet aliuliza. Flora akainua uso wake na kusema: "Kwanza nisamehe sana Shemeji yangu kwa kukuamsha na kukusumbua usiku huu, kitu cha Pili ni hivi ..." Flora alisita kuendelea kuongea.

"Sema tu Shemeji usiogope" Japhet alisema huku kwa mbali akianza kuhisi jambo Fulani la mapenzi Shemeji yake anataka kumuambia maana ukijumlisha na huu mkao wa kihasara aliomkalia.

"Yaani ni hivi Shemeji, mwenzio hapa nilipo nimezidiwa" Flora sasa aliamua kufunguka. Japhet alishtuka kusikia hivyo. "Umezidiwa na nini tena Shemeji, kwani unaumwa?" Japhet alijifanya kuuliza. "Hapana Shem siumwi bhana, nimezidiwa na Nyege nimeshindwa kuvumilia" Flora alisema kwa sauti ndogo. Japhet akashusha pumzi ndefu na kuona sasa kile alichokihisi ndio sasa kimetokea. "Sasa Shemeji mbona tena unanishangaza, yaani kaka ameondoka Jana leo unaniambia umezidiwa?" Japhet aliuliza kwa mshangao huku akiona kama vile ni utani Shemeji yake anamtania.

"Usishangae Shemeji wewe aujui tu maisha ya ndani ninayoishi na kaka yako, hata kama asingesafiri na kukaa hapa nyumbani kwa mwaka mzima bado asingeweza kuniridhisha kabisa" alisema Flora kwa huzuni na kumuacha Japhet asimuelewe hicho anachokisema kina maana gani. "Mbona sikuelewi Shemeji?" Japhet aliuliza. Flora akalazimisha tabasamu usoni kwake na kusema: "Mimi na kaka yako Lukasi tunaishi kama vile mtu dada ake yaani kaka dada, atujawahi kufanya mapenzi kabisa tangu anioe" alisema Flora. Hapo Japhet akajikuta ananyanyuka kwenye kochi na kusimama halafu akasema: "Shemeji hebu acha kuniletea masihara kabisa, hicho kitu kinawezekana vipi?" Japhet aliuliza.

"Tulia basi Shemeji mbona unakuwa hivyo tena? kaka yako Lukasi ana matatizo makubwa sana, pale alipo ana uwezo wa kufanya mapenzi na mwanamke yeyote kabisa" Flora alisema Flora. Japhet akuweza kuamini hiki anachokisikia hapa kutoka kwa Shemeji yake. "Hapana sio kweli Shemeji unanidanganya, kaka Lukasi hawezi kuwa hivyo" alisema Japhet. "Kama auamini basi sikulazimishi lakini ukweli ndio upo hivyo, na tayari kaka yako ameshaniruhusu niwe na mwanaume mwingine kwa siri na hata ikiwezekana nimzalie mtoto ili kumfichia hiyo aibu" Flora sasa aliweka mambo yote adharani. Japhet alichoka kabisa!

"Sasa kwahiyo Shemeji unataka mimi nikusaidie vipi kuhusu hilo jambo?" Japhet aliuliza huku akiwa amepagawa maana akutegemea kukisikia hiki kitu alichoambiwa kuhusu kaka yake.

INAENDELEA
Powered by Blogger.