KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Tipwatipwa Tetema... Ooh Tetema! Sehemu Ya Pili (2)


Kiukweli sikutegemea kama anaweza kufanya kitu kama kile, kwa mara nyingine tukajikuta msambweni, safari hii tukiwa katika mazingira tofauti kabisa. Nilifanya kile nilichotakiwa kukifanya, tena kwa ufanisi mkubwa sana na haukupita muda mrefu, Mimah akapasua tena dafu, akawa ni kama amechanganyikiwa.

“Nakupenda wewe! Nakupenda sharobaro wangu,” alisema huku akinikumbatia kwa nguvu, mapigo ya moyo wake yakimuenda mbio kuliko kawaida. Nadhani alichokipata hakuwa amekitegemea kabisa.

Basi alichukua sabuni na kujipaka mwili mzima, akahamia kwangu, akafanya hivyohivyo kisha akaongeza kasi ya bomba la mvua, tukaoga na baada ya kumaliza, tulirudi kule chumbani kwake.

“Ngoja nipumzike kidogo mume wangu,” alisema, nikawa nashangilia mwenyewe ushindi kwa sababu eti tayari nilishakuwa mume wake, akajifuta maji kwa taulo safi, akanipa na mimi nijifute na harakaharaka akapanda kwenye kitanda kikubwa na cha kisasa na kujilaza.

Baada ya kumaliza, na mimi nilipanda pale juu ya kitanda, akageuka kichovu na kunitazama, huku tabasamu hafifu likiwa limechanua kwenye uso wake.

“Kwani wewe una miaka mingapi?”

“Eeh, mambo ya kuulizana miaka yametoka wapi tena?”

“Mh! Nimekuuliza tu, unajua nilikuwa nakuona kama bado mdogo sana kwangu,” alisema, nikaishia kucheka tu kwa sababu nilikuwa najua anachotaka kukisema, nikabadilisha mazungumzo kwa sababu ni kweli kiumri bado nilikuwa mdogo, niliwahi tu kwenye mambo ya kikubwa na uwezo kweli nilikuwa nao, katika hilo najiamini.

Tuliendelea kupiga stori za hapa na pale, mwisho tukajikuta tena uwanjani, kwa mara nyingine nikakata mzizi wa fitina. Mpaka ngwe hiyo inaisha, Mimah alikuwa hoi bin taabani, akajitupa upande wa pili kama mzigo na haukupita muda mrefu, akaanza kukoroma.

Nilipochungulia nje kwa kupitia dirisha kubwa lililokuwa mle chumbani, niligundua kwamba kigiza cha jioni kilishaanza kuingia, ikabidi nikurupuke harakaharaka kwa sababu sikutaka kuingia matatizoni na baba mdogo kwa sababu angeweza kunifokea sana kama ningechelewa kurudi.

Basi nilijiandaa harakaharaka, nikamuwekea vitu vyote vizuri ikiwa ni pamoja na kuhakikisha yule samaki amekaa vizuri kwenye friji, nikatoka kimyakimya na kuanza kutembea harakaharaka kurudi nyumbani. Nilitembea kwa miguu kwa sababu sikutaka kutumia fedha za mtaji kwa ajili ya kuchukua usafiri, nilijua nitagombana na baba mdogo na hakuna kitu ambacho nilikuwa sikitaki kama kumuudhi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Kwenye majira ya kama saa mbili kasoro hizi za usiku, tayari nilikuwa nimewasili nyumbani, kwa bahati nzuri baba mdogo hakuwa bado amerejea, kwa hiyo nikamkabidhi mke wake hesabu kisha nikaenda moja kwa moja ‘magetoni’ kwangu, nikajilaza kitandani huku nikiendelea kusherehekea ushindi nilioupata kwa Mimah.

Nikawasha kiredio changu kidogo kinachotumia flashi na kuweka wimbo niliokuwa naupenda sana, wa tipwatipwa tetema, nikawa naburudika. Japokuwa nilikuwa najikaza, ukweli ni kwamba nilikuwa nimechoka sana, sikutamani hata kula usiku huo, hisia tamu juu ya Mimah zikawa zinaendelea kupita ndani ya kichwa changu, baadaye nikapitiwa na usingizi mzito.

Nilipokuja kuzinduka, tayari muda ulikuwa umeenda sana, nilipotazama saa, ilikuwa inaonesha ni saa tisa kasoro za usiku, nikachukua kisimu changu ambacho tangu niliporudi sikuwa nimeshughulika nacho, nikagundua kwamba kilikuwa kimezima, bila kuuliza nikajua kuwa lazima itakuwa kimeisha chaji.

Nilikichomeka kwenye chaji na kukiwasha, nikarudi kitandani na kujilaza, mara meseji zikaanza kuingia mfululizo. Niliinuka kichovu na kukichukua, nikashtuka kugundua kwamba kumbe Mimah alikuwa amenipigia sana na pengine ndiyo maana kisimu kikazima. Kulikuwa na ‘missed’ call kama kumi hivi, zote zikiwa zimetoka kwa Mimah lakini pia kulikuwa na meseji kibao, ikabidi nianze kuzifungua na kusoma moja baada ya nyingine. Zote zilikuwa ni kutoka kwa Mimah. Alikuwa ananiuliza nimeondoka saa ngapi, kwa nini nimeondoka bila kumuaga, mbona sipokei simu na kadhalika.

Maswali yalikuwa mengi kiasi kwamba hata sikujua nijibu lipi, nikaamua kurudi kulala kwa sababu bado sikuwa nimepumzika vya kutosha. Haukupita muda mrefu, nikapitiwa na usingizi.

Kelele za mlango uliokuwa unagongwa na baba mdogo, ndizo zilizonizindua kutoka usingizini, harakaharaka nikakurupuka na kwenda kumfungulia, nikamsalimu kwa adabu.

“Nasikia jana ulitoka mchana hata chakula hukula na ukarudi usiku, na chakula pia hukula. Kwa nini unakuwa na tabia za ajabuajabu? Haya niambie ulikuwa umeenda wapi?” baba mdogo alianza kuwaka. Kiukweli nilikasirika kwa sababu nilijua mtu anayetugombanisha ni mama mdogo, kwa nini anichunge kama mtoto mdogo?

Sikutaka kubishana naye kwa hiyo nilimjibu tu kwa kifupi kwamba nilikuwa nimeenda kukusanya madeni, nikamuona akipoa ghafla. Akanihesabia fedha za kwenda kununulia mzigo na kunisisitiza kuwa makini na kazi.

Aliporudi ndani kwake, nilitoka harakaharaka na kwenda bafuni kuoga, nikarudi na kuanza kujiandaa huku bado nikiwa na kinyongo na mama mdogo. Kwa nini anichonganishe na baba? Basi baada ya kumaliza kujiandaa, nilichukua kapu langu na kutoka mpaka kituoni, nikakalia daladala na safari ya kuelekea Feri ikaanza.

Mara simu yangu ilianza kuita, haikuwa kawaida simu yangu kupigwa alfajiri kiasi hicho, harakaharaka nikaitoa mfukoni na kuitazama, alikuwa ni Mimah.

“Wewe!”

“Ooh! Mimah, za asubuhi mama.”

“Mbaya! Uko wapi?”

“Naenda Feri.”

“Una tabia mbaya sana, ndiyo nini ulivyonifanya jana? Yaani ume...” alisema lakini kabla hajamaliza,kwa kuwa nilikuwa kwenye daladala, ilibidi nimkatishe.

“Kwani leo huendi kazini?”

“Kwa gwaride ulilonichezesha unafikiri nitaweza kwenda kazini kweli? Nimejilalia zangu, njoo!”

“Hapana, nafuata mzigo kwanza.”

“Ukitoka huko uje basi, ujue yule samaki tangu jana sijamtengeneza. Uje unitengenezee nimpike na sili kitu mpaka uje,” alisema Mimah kwa sauti ya kudeka, nikajikuta nacheka tu mwenyewe. Alipokata simu, nilianza kumfikiria Mimah, kiukweli ujasiri wangu ulikuwa umezaa matunda matamu sana.

Wakati safari inaendelea, dereva alifungulia redio mle kwenye daladala, akaweka wimbo wa Tetema, tena kwa sauti ya juu, basi wakati mziki huo unapigwa, na mimi nikawa nafuatisha maneno yake huku nikivuta kumbukumbu za jana yake nilivyokuwa na Mimah, nikajikuta nacheka tu mwenyewe.

“Mbona unacheka mwenyewe?” abiria mwenzangu niliyekuwa nimekaa naye, aliniuliza, nikahisi nimemkwaza, harakaharaka nikauchuna kisha nikamjibu kwa kifupi ‘naupenda tu huu wimbo.’

“Mh! Unapenda wimbo au unapenda hayo maneno yake? Sisi wanawake wanene tunapata sana shida, kila unakopita unasikia wahuni wanakuimbia ‘tipwatipwa tetema...’ hadi kero,” alisema yule abiria mwenzangu ambaye kwa sababu alikuwa amejitanda ushungi na kuvaa gauni kubwakubwa, kwanza nilidhani ni mama mtu mzima laini pia sikuweza kumgundua haraka kwamba kumbe na yeye ni ‘tipwatipwa’.

Nikashusha macho yangu na kuanza kumchunguza vizuri huku mapigo ya moyo wangu yakianza kunienda mbio. Aligundua kwamba nilikuwa nikimtazama kwa macho ya kuibia, basi akanigeukia na kunitazama, macho yangu na yake yakagongana, nikaachia tabasamu pana, na yeye akaachia tabasamu.

“Ujue nyie masharobaro wa siku hizi hamna adabu kabisa, si ajabu hapo unaimba huo wimbo kwa sababu umeniona mimi,” alisema, nikacheka sana huku nikiendelea kumtathmini jinsi alivyokuwa mzuri.





“Hamna, mi napendaga nyimbo za Wasafi, si unajua tena unyamwezi mwingi nini, kama mbele,” nilijibebisha kwa lafudhi ya kimjini ambayo haikuwa yangu, nikamuona yule dada akicheka sana. Muziki ukawa unaendelea kupigwa kwenye gari huku safari ikiendelea.

“Yaani siku hizi imekuwa mtihani, mpaka nalazimika kuvaa minguo mikubwa kama mzee, nyie wahuni mnatukosesha sana raha siye vibonge,” alisema yule dada, basi nikawa nimepata sehemu nzuri ya kumzoea, basi nikawa naendelea kumsifia huku nikimueleza jinsi nilivyokuwa navutiwa na wanawake vibonge!

“Mh! Kila mtu sisi huwa anatukimbia, sijui kwa nini wanaume wanatuogopa sisi wanaume wanene!”

“Mh! Unataka kusema hata shemeji yangu naye anakuogopa?”

“Shemeji? Shemeji gani tena? Mie niko singo, huniamini ninaposema wanaume wanatuogopa sisi vibonge? Yaani unaishia kutaniwa tu barabarani!”

“Mimi pia nipo singo.”

“Kwa hiyo unataka kusemaje?” aliniuliza huku tabasamu pana likiwa limechanua kwenye uso wake, tukacheka na kugongesheana mikono. Ndani ya muda mfupi tu tuliokutana kwenye daladala, tulishazoeana utafikiri tumejuana miaka kibao nyuma.

Basi stori ziliendelea, akaniambia yeye anasoma Chuo cha Utumishi wa Umma, Magogoni. Nilishangaa kusikia kwamba eti bado anasoma, sijui ni macho yangu au ni vipi, nilimuona kama umri wake ni mkubwa na hata kama siyo mkubwa kivile, lakini alikuwa anatakiwa awe tayari ameolewa au awe anafanya kazi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Kwani umezaliwa mwaka gani?”

“1998!” aliniambia, nikatingisha kichwa na kumbishia kwa nguvu.

“Unabisha nini sasa? Mimi ndiyo nakwambia,” alisema huku akifungua pochi yake, akatoa kitambulisho chake cha mpiga kura, akanionesha kwenye eneo palipoandikwa tarehe na mwaka wa kuzaliwa, kweli alikuwa amezaliwa April 8, 1998, nikashusha pumzi ndefu na kumtazama usoni.

“Usinione huu mwili tu, mie bado mtoto, mwili nimerithi kwa mama tu huu,” alisema huku akicheka mwenyewe kwa aibu za kikekike na kunipiga begani, kichwani nikawa namhesabia kwamba amekwisha!

Kwa mazoea ambayo tulikuwa tumeshayajenga mpaka muda huo, nilikuwa na uhakika kwamba nikiendelea kumuoneshea uhitaji, lazima atanizawadia kile nilichokuwa nakitaka.

Basi safari ikaendelea, ikawa tunatazamana kwa kuibiana, mimi nikimtazama anajifanya yuko bize na mambo yake, na yeye akinitazama najifanya niko bize na mambo yangu. Mwisho nikaona tabasamu limeganda kwenye uso wake, akawa ananitazama kwa kunikazia macho.

“Wewe una miaka mingapi?”

“Mi mkubwa wewe! Inabidi uwe unaniamkia,” nilisema, akacheka sana na kunipiga tena kakibao ka kichokozi begani.

“Oyaa abiria Posta hiyo, mwisho wa gari!” sauti ya konda ndiyo iliyotuzindua kutoka kwenye mazungumzo matamu yaliyonoga, basi nikasimama na kuchukua ‘fuko’ langu, naye akasimama.

Basi tuliteremka na kuanza kutembea kandokando ya barabara, yule dada akawa anakuja nyuma yangu, yaani mazingira yaliyotokea jana yake nikiwa na Mimah ndiyo yaleyale yaliyokuwa yamejirudia. Kama kawaida yangu, nilipoona naye anakuja uelekeo ule, nilipunguza kidogo mwendo kumsubiri.

“Kwani wewe unaelekea wapi?”

“Naenda feri kufuata samaki!”

“Kumbe we muuza samaki, ndiyo maana una maneno mengi hivyo!” alisema huku akicheka, basi na mimi nikawa nacheka, tukawa tunatembea huku nikipiga mahesabu makali ndani ya kichwa changu, nilitaka atangulie kidogo ili niangalie kama yaliyomo yamo?

Bila kujua nilichokuwa nimekikusudia, kweli alitangulia mbele kidogo, nikajikuta nikimeza mate mithili ya fisi aliyeona mfupa. Japokuwa alikuwa amevaa gauni kubwakubwa na kujitanda ushungi, ‘chura’ mkubwa aliyenona alishindwa kabisa kujificha! Huo ulikuwa udhaifu mkubwa sana kwangu.

“Hivi umesema unaitwa nani!”

“Naitwa Jack, we unaitwa nani?”

“Mimi?”

“Sasa kwani naongea na nani?”

“Naitwa mume wa Jack,” nilisema na kumfanya acheke sana, hata watu waliokuwa pembeni yetu wakawa wanatushangaa. Basi tuliendelea na safari yetu, nikawa natafuta ‘taiming’ ya kumuomba namba kwa sababu siku hizi ukishachukua namba ya mwanamke tu unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuibuka na ushindi!

“Dada Jack, nimpenda sana kampani yako, naomba namba yako kama hutajali!”

“Mbona unatetemeka sasa!”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Nakuogopa jinsi ulivyo mzuri!” nilimchombeza na kusababisha acheke sana. Wasichokijua watu wengi ni kwamba watu wengi wanene huwa wana kitu fulani hivi kinachofanana, wengi wanapenda sana masihara na ni wacheshi.

“Unaniogopa kwani umeambiwa mimi nakula watu? Nakupa namba yangu sasa ole wako unitongoze,” alisema huku akiendelea kucheka, akataka nimpe simu ili aniandikie mwenyewe! Kizaazaa kingine kikaibuka.

“Nitajie tu nitaandika mwenyewe.”

“Lete nikuandikie bwana, au unaogopa nisione ‘kiswaswadu’ chako,” alisema, nikajikuta nimetahayari sana kwa sababu alichokisema ndiyo ulikuwa ukweli, kisimu changu kilikuwa kinanitia sana aibu.

Basi nilimpa, alipotazama tu pale kwenye ‘batani’ akacheka sana na kunirudishia kwa sababu zilikuwa zimefutika zote na usingeweza kuandika namba kama hujazoea kuitumia, akanitajia namba yake huku akiendelea kucheka.

“Looh! Mwanaume bahili wewe, unashindwa kununua ‘smart phone’ unatembea na kitochi kilichochoka namna hii? Ngoja tukionana kesho nitakupa kisimu changu ninachotumiaga hii ikiisha chaji, leo nimekisahau nyumbani,” aliniambia na kunifanya nizidi kutahayari.

Basi tuliongozana naye mpaka pale chuoni kwao, tukaagana huku akinitazama kwa macho yaliyoonesha kama ana kitu fulani hivi alikuwa anataka kuniambia! Wasichokijua wanaume wengi, asilimia kubwa ya wanawake wanapenda wanaume wacheshi.

Ukishaanza kuzoeana na mwanamke, masihara mengi na michezomichezo, hata kuja kumuingizia masuala ya mapenzi, unaweza kumpata kwa urahisi kuliko ukiingia na gia ya usiriasi.

Wanawake wengi huona kama kuwa kwenye uhusiano na mwanaume anayekufanya ucheke, mtaniane na kufurahi pamoja, ni raha zaidi kuliko kuwa na mwanaume ambaye muda wote yuko siriasi! Nilikuwa naijua vyema siri hii na mara zote haikuwahi kuniangusha.

“Ntakupigia!”

“Poa! Ila usinitongoze, nakuomba sana,” alisema na kunifanya nicheke sana, nikaachana naye nikiwa nimefurahi sana, ama kwa hakika siku yangu ilikuwa imeanza vizuri sana.





Nilielekea feri ambako nilikuta tayari wafanyabiashara wenzangu wa samaki wakiwa wameshafika, wavuvi wengi nao alfajiri hiyo ndiyo walikuwa wakirejea kutoka baharini, muda mfupi baadaye biashara ikaanza.

Nilinunua mzigo kulingana na fedha nilizokuwa nazo na kwa sababu Mimah aliniambia anawapenda sana samaki aina ya changu, nilimchukulia mmoja mkubwa ambaye ilibidi nitoe hela zangu za mfukoni.

Wakati nikimtazama samaki huyo, kumbukumbu za mechi ya kirafiki iliyopigwa kati yangu na Mimah, zilianza kupita ndani ya kichwa changu, nikajikuta nikiishia kutabasamu mwenyewe.

“Mbona unachekacheka dogo, umeokota pochi la mzungu nini?” mvuvi mmoja ambaye tumezoea kumuita ‘Kishingo’ aliniuliza baada ya kuniona nikiwa nachekacheka mwenyewe kama mwendawazimu. Sikumjibu zaidi ya kubeba kapu langu na kusogea pembeni, nikawapanga vizuri samaki wangu, nikajitwisha mzigo wangu na kuelekea kituoni kusubiri daladala.

Majira ya kama saa moja za asubuhi, tayari nilikuwa nimeshafika nyumbani, nikawatenganisha samaki, wale ambao walitakiwa kukaangwa na kuuzwa pale nyumbani, nilimuachia mama mdogo, mimi nikawachukua wa kwangu kwa ajili ya kuwatembeza.

Kama kawaida yangu, nilienda kujipiga ‘sopusopu’ kwanza, nikavaa vizuri na kupendeza, nikajipulizia ‘kapafyumu’ kangu ka bei ndogo na kuchukua mzigo wangu.

“Wewe mbona unajipigilia namna hiyo utafikiri unaenda kutoa posa? Halafu sikia, huyo samaki changu uliyemtenga pembeni muache nimpike leo hapa nyumbani, mume wangu anawapenda sana changu.”

“Hapana ma’mdogo, huyu ana oda maalum, kuna mtu aliniagiza na nilishachukua hela zake, nitakuletea kesho.”

“Mh! Haya, hujanijibu swali langu, mbona umeulambia kiasi hicho?”

“Nimependeza ili kuvutia wateja mamdogo, vipi kwani,” nilimjibu huku nikiwa nacheka kwa sababu nilishajua kilichokuwa ndani ya akili yake.

“Hukawii kurudi na lile tipwatipwa lako jioni, akili zako zinakutosha mwenyewe,” alisema, nikaondoka haraka huku nikiwa nacheka. Utani aliokuwa akiuleta mamdogo, sikuwa napendezewa nao lakini pia sikuona sababu ya yeye kuwa ananifuatilia kiasi hicho, yaani mpaka nikipendeza lazima aniulize kwa nini nimependeza.

Kwa sababu nilishamchukulia kama ‘mnoko’ fulani anayepeleka mambo yangu kwa baba mdogo, sikuhangaika naye. Niliingia mtaani na kuanza kusambaza samaki, nikiwa naendelea na biashara, mara kisimu changu kilianza kuita.

Ilibidi nisogee pembeni na kuweka samaki wangu juu ya kiambaza cha nyumba iliyokuwa karibu na mimi, nikatoa kisimu changu na kuangalia namba ya mpigaji. Alikuwa ni Mimah, nikashusha pumzi ndefu na kuipeleka simu sikioni haraka.

“Sharoo!”

“Nambie sistaduu!”

“Khaa! Umeniitaje?”

“Kwani wewe umeniitaje?”

“Unajifanya mjanja siyo? Hebu niambie uko wapi kwanza.”

“Niko mtaani mpenzi wangu, napiga kazi.”

“Ndiyo najua muda huu upo mtaani, nataka kujua upo sehemu gani?”

“Nipo Kinondoni Sharifu Shamba, nikitoka hapa naingia Magomeni, vipi na wewe upo kazini?”

“Nimerudi kazini, si nilikwambia tangu jana kwamba naumwa? Mbona unashindwa kumjali mgonjwa?”

“Ngoja basi nimalize biashara nitakuja kukuangalia mgonjwa, leo nimekuwekea changu mkubwa kuliko yule niliyekuletea.”

“Mimi nataka uje sasa hivi bwana.”

“Bado nina mzigo mkubwa, ngoja niuze kwanza si unajua jioni inatakiwa nipeleke hesabu?”

“Wewe njoo tu mzigo wako nitajua nini cha kufanya,” alisema Mimah kwa sauti ya kudeka, nikajikuta mwili mzima ukisisimka. Kiukweli licha ya tofauti zilizokuwepo kati yangu na Mimah, nilijikuta nikimpenda sana huyu mwanamke na baada ya kukata simu, hata sikufikiria mara mbili, nilibeba samaki wangu na kugeuza, nikaanza kutembea harakaharaka kuelekea nyumbani kwa Mimah.

Nilikatiza mitaa huku nikitembea upesiupesi utafikirinawahi jambo moja muhimu sana, dakika kadhaa baadaye nilikuwa nimeshafika. Jua lililokuwa likizidi kukolea, lilisababisha kijasho chembamba kiwe kinanitoka.

“Whaoo! Umekuja? Hata sikutegemea kama unaweza kunisikiliza na kuja, ahsante baba,” alisema Mimah aliyekuwa ndani ya upande mmoja tu wa khanga, wakati akinifungulia geti la kuingilia ndani kwake.

“Usijali Mimah, nisipokusikiliza wewe nitamsikiliza nani tena?” nilimwambia huku nikimtazama kwa macho ya kuibia kwenye eneo lake la nyuma, khanga aliyokuwa amevaa ilinifanya niweze kulisanifu vizuri umbo lake na kiukweli Mimah alikuwa mwanamke haswaa! Mzuri wa kila kitu, kuanzia sura mpaka umbo.

Japokuwa alikuwa kibonge, lakini alikuwa na shepu nzuri kwelikweli huku ‘nundu’ kubwa iliyochomoza upande wa nyuma ikizidi kumfanya awe na mvuto wa aina yake, nikajikuta nikimeza mate kama fisi aliyeona mfupa.

“Jua kali, pole maana siyo kwa jasho hilo,” alisema huku akitaka kunipokea kapu langu la samaki, nikamkatalia maana sikutaka na yeye aanze kunuka shombo. Basi alitangulia mbele na kuanza kuniongoza kuelekea ndani, akawa anajitingisha kwa makusudi huku mara kwa mara akigeuka na kunitazama machoni.

“Uko vizuri mama,” nilisema huku nikimpiga kakibao ka kichokozi kwenye nundu yake, akaruka na kucheka sana.

“Nenda kaoge kwanza upunguze uchovu mume wangu, samaki wako leta nikuwekee kwenye friji,” alisema, nikampa lile kapu na bila hata kuhofia shombo, alianza kuwatoa samaki mmoja baada ya mwingine na kuwapanga kwenye friji lake kubwa na la kisasa.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Basi niliongoza moja kwa moja mpaka kule chumbani nikiwa nimeshayazoea mazingira ya mle ndani. Ili kukwepa kusambaza shombo kwenye chumba chake cha kisasa, nilivua nguo palepale koridoni, nikazitundika kwenye ‘henga’ ya kisasa aliyoiweka pale koridoni kwa ajili ya kutundikia mikoba yake.

Baada ya kumaliza kuvua, niliingia chumbani kwake na moja kwa moja nikaingia kwenye bafu la kisasa la ndani kwa ndani, nikafungulia bomba la mvua na kuanza kujimwagia maji. Kiukweli nilijisikia ahueni kubwa kwa sababu mwili wangu ulikuwa umechemka kwelikweli.

Wakati nikiendelea kujimwagia, nilishtukia mlango wa bafu ukifunguliwa, Mimah akaingia huku akiwa na kopo la sabuni ya maji iliyokuwa inanukia vizuri sana. Alivua khanga yake na kuitundika pembeni huku akinitazama machoni, basi akanisogelea na kujimwagia ile sabuni mikononi, akanawa na kuondoa shombo lote huku akinipa pia eti niogee sabuni hiyo.

“Hii ni kiboko ya shombo na harufu za ajabuajabu mwilini, najua hujawahi kuitumia,” alisema, nikaishia kucheka kwa sababu ni kweli sikuwahi kutumia sabuni ya maji kuogea. Nikiwa bado nashangaashangaa, alinisogelea mwilini na kuanza kunipaka mwili mzima, raha niliyoipata wakati mikono yake laini ikipita kwenye mwili wangu, ilikuwa haielezeki.

“Naomba na mimi nikupake sabuni,” nilimwambia, akanipa kile kikopo, nikamimina na kuanza kumpaka mwili mzima, nikamuona na yeye akijinyonganyonga kama chatu aliyemeza mbuzi mzima.

Tuliendelea kupakana sabuni, nikashtukia mkono wake mmoja akiupeleka kwa mkuu wa kaya na kumshika, nikashtuka kidogo kwa sababu sikuwa nimetegemea, akafungulia tena maji ya bomba la mvua ambayo alikuwa ameyafunga kwa muda.

Tukakumbatiana na maji yakaanza kutumwagikia mithili ya watu wanaonyeshewa na mvua, huku mkono wake ukiendelea kumfanyia ‘kukurukakara’ mkuu wa kaya, jambo ambalo lilinifanya nizidiwe na uchu mithili ya mtu aliyeona kipande cha ndimu.





Fujo alizokuwa anazifanya Mimah wakati maji ya bomba la mvua yakiendelea kutumwagikia zilikuwa kubwa mno, ikafika mahali, akajiweka mwenyewe kwenye mkao fulani hivi ‘amaizing’ kama anacheza kiduku, akamkamata mkuu wa kaya na kumuelekeza sehemu ya kwenda, nikatoa mguno wa nguvu kwa sababu ni kitu ambacho sikukitegemea.

Haukupita muda, tayari Mimah alikuwa ameshakwea juu kabisa ya mnazi, akavunja dafu moja kwa nguvu! Kama nisingeweza kumshikilia, huenda angeweza kudondoka mpaka chini, basi nikamsaidia na kumpa ‘sapoti’, akawa anahema mithili ya mtu aliyetoka kukimbia mbio za marathon.

Nilimsimamisha kwenye bomba la mvua, baada ya kumwagikiwa na maji ya baridi kwa wingi, nguvu zikawa zimemrudia. Tulitoka na kuingia chumbani huku akionesha bado kukosa utulivu kabisa, ikabidi mimi ndiyo niwe nafanya kazi ya kumsaidia kufuta maji kwenye mwili wake mzuri.

Nilipomaliza, nilijifuta na mimi na kabla hata sijamaliza, alinisogelea, macho yake yakiwa ni kama yamezidiwa na usingizi, akanisukuma taratibu juu ya kitanda chake kikubwa na cha kifahari. Hakuna aliyekuwa anamsemesha mwenzake, kilichosikika kilikuwa ni miguno ya hapa na pale tu.

Nikiwa katika hali ile, Mimah sijui alijipinduaje bwana, nikashtukia amekamata ‘mic’ na kuanza kuimba wimbo mzuri ambao uliniburudisha mno, nikajikuta nikiyafumba macho yangu huku nikijihisi kuwa kwenye ulimwengu mwingine tofauti kabisa.

Aliimba kwa muda wa kama dakika mbili nzima, nikawa ni kama sijielewi! Ilikuwa zamu yangu kuchanganyikiwa, nilimpokonya ‘mic’, akawa analalamika akitaka eti nimuache aendelee kuimba, nikamgeuzia kibao na kuvamia kwenye chungu chake cha asali! Nadhani na yeye hakutegemea kilichotokea, akatoa ukelele wa nguvu.

Sikumjali, nilianza kulamba asali kwa fujo, basi akawa anagugumia ndani kwa ndani huku wakati mwingine akishindwa kuvumilia na kutoa miguno kwa sauti ya juu, nilipoona pishi limekolea nazi, sikutaka kuchelewa, nilimuelekeza mkuu wa kaya sehemu ya kwenda, akiwa amefura kwa hasira kali, alitii sheria bila shuruti, kwa mara nyingine Mimah akatoa ukelele kwa sauti ya juu, ambao kwangu ulikuwa ni zaidi ya burudani!

Mechi ya kirafiki isiyo na refa wala jezi iliendelea huku nikitumia mfumo wa four-four-two, kwa wale wapenzi wa soka watakuwa wanajua maana yake, basi ikawa ni patashika nguo kuchanika. Haukupita muda mrefu, akaangua madafu mawili kwa mpigo, akanipiga ‘ngeta’ huku mwili wake wote ukitetemeka kama jenereta!

Akaangukia upande wa pili kama gunia! Sikutaka kumuacha, nilimuweka sawa na kuendelea na mechi kwa sababu nilikuwa natafuta ushindi mnono! Haukupita muda mrefu, tayari nilikuwa nimeshawapita mabeki wake wote ambao walikuwa wameshapoteana, nikampiga chenga mpaka kipa, nikabaki mimi na lango, basi nikafumua shuti la nguvu lililoenda kutingisha nyavu kwa nguvu!

“Basi! Basi baba, wewe mshindi, nimekubali,” alisema Mimah akiomba ‘poo’, basi na mimi nikaangukia upande wa pili huku nikiendelea kushangilia ushindi mnono nilioupata. Kama kawaida yake, Mimah hakuchukua muda mrefu, nikamsikia akianza kukoroma kuonesha kwamba tayari alishapitiwa na usingizi.

Ni hapo ndipo akili ziliponirudia kwamba kumbe sikuwa nimetembeza biashara kama kawaida, samaki wangu wote nilikuwa nimewaweka kwenye friji lake na isitoshe muda ulikuwa unazidi kwenda!

Nilitaka nikurupuke na kwenda kuwatoa kwenye friji ili niingie mtaani lakini nilikumbuka kwamba aliniambia mwenyewe kwamba atajua nini cha kufanya! Basi ikabidi nivute subira kidogo.

Dakika chache baadaye, alishtuka kutoka kwenye usingizi mzito, kitu cha kwanza ilikuwa ni kuangalia pembeni yake kama nipo, nadhani alitegemea naweza kumfanyia kama jana yake, yaani akishtuka akute nilishaondoka kitambo! Aliponioa, aliachia tabasamu pana.

“Wewe!”

“Nini!”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Una tabia mbaya! Kwa nini unaniangalia hivyo?”

“Nasikia raha sana nikikuangalia Mimah, unajua kwamba wewe ni mzuri sana?”

“Mh! Acha kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa, nina uzuri gani na utipwatipwa huu?”

“Mh! Basi kama ulikuwa hujui, mi napenda sana jinsi ulivyo, hivyohivyo na utipwatipwa wako,” nilimwambia Mimah, basi akacheka sana na kunivutia kwenye kifua chake, akanikumbatia kwa hisia huku akinimwagia mvua ya mabusu.

“Ukitulia na mimi nitayabadilisha kabisa maisha yako, umeweza kuutibu vizuri moyo wangu, wewe ni mwanaume wa kipekee sana. Mwanzo nilikuwa nakuchukulia poa lakini mh! Shughuli yake siyo ya nchi hii,” alisema Mimah, kauli ambayo iliufurahisha sana moyo wangu.

Basi aliinuka na kujifunga upande wa khanga, akaenda kwenye mkoba wake na kuufungua, akahesabu noti kumi za shilingi elfu kumikumi, akaja nazo pale kitandani na kunibwagia!

“Hizi za nini?”

“Hayo ndiyo mauzo yako ya leo ambayo ungeyapata kwa kuzunguka kutwa nzima juani,” alisema na kunifanya nibaki nimepigwa na butwaa, nikiwa ni kama siamini alichokuwa anakisema.

“Mimah!” nilimuita huku tabasamu pana likiwa limechanua kwenye uso wangu, akanisogelea, tukawa tunatazamana machoni.

“Hata sijui namna ya kukushukuru mama, ahsante sana.”

“Usijali baba! Mbona hayo ni manyunyu tu, mvua kubwa inakuja!” alisema huku akiyazungusha macho yake mazuri, basi nikajikuta natamani kuendelea kumtazama, na yeye akawa anazidi kunifanyia vituko vya hapa na pale, mara anikonyeze, mara anibusu kwa mbali, haukupita muda mrefu tukagusanisha ndimi zetu.

Kazi ilikuwa moja tu siku hiyo, mpaka inafika majira ya kama saa tisa hivi za alasiri, kila mmoja alikuwa hoi bin taaban. Nilitamani kuendelea kukaa na Mimah kwa sababu kiukweli ni kama nilikuwa nimeonja asali na sasa nataka kuchonga mzinga.

Basi nilijikakamua na kuamka, nikaenda tena kujimwagia maji bafuni, niliporudi, nilijiandaa harakaharaka, nikarudia kumshukuru Mimah, naye akanishukuru sana kisha akanisindikiza mpaka mlangoni, nikachukua kapu langu likiwa tupu.

“Sasa hawa samaki itakuwaje? Ungekuwa umenitengenezea hata mmoja mi ningeanza kumtengeneza maana nahisi njaa ya ajabu, ujue hatujakula kitu tangu asubuhi,” alisema Mimah, ndipo na mimi nikakumbuka kwamba kumbe hatukuwa tumekula chochote.

Ilibidi niweka kapu pembeni, nikafungua friji na kumtoa yule samaki aina ya changu mkubwa, nikasogea kwenye ‘sink’ la jikoni, nikafungulia maji na kuanza kumtengeneza yule samaki. Kwa kuwa nilikuwa na uzoefu wa kutosha, haikuchukua muda mrefu nikawa nimeshamaliza, nikamkatakata vipande kadhaa na kunawa vizuri mikono yangu.

“Mh! Yaani wewe fundi, mara hii ushamaliza?” alisema, nikacheka na kuchukua kapu langu, tukaagana pale huku akiniambia anatamani ningeendelea kukaa kidogo ili anipikie chakula lakini kiukweli nilikuwa nyuma ya muda.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Nitakuja kula siku nyingine usijali,” nilimwambia, akanitazama kwa macho yake mazuri huku akiyarembua, basi nikatoka na kuianza safari ya kuelekea nyumbani. Nilikatiza mitaa na muda mfupi baadaye, tayari nilikuwa nimeshafika barabarani, nikawa nachekacheka tu mwenyewe kila nikimkumbuka Mimah.

Basi nilienda moja kwa moja mpaka nyumbani, ile nafika tu, mama mdogo akanidaka juu kwa juu.

“Mbona leo umechelewa sana?”

“Biashara ilikuwa ngumu lakini nashukuru nimemaliza.”

“Halafu mbona kama unanukia pafyumu ya mwanamke?”





ITAENDELEA

Powered by Blogger.