Simulizi : Shida Sehemu Ya Kumi na moja (11)
Alimsimulia kila kitu rafiki yake huyu bila kujua hatari aliyokuwa akimsababishia
Shida alijihisi mwepesi sana baada ya kuitua siri ile iliyokuwa ikimtafuna kimya kimya.
Aliondoka na kurudi nyumbani huku akiwa kaamua kuwa siri ile ataenda kumweleza bibi yake kama alivyoshauriwa na Mwajuma ili bibi amsaidie kuepukana na mabalaa ya Alex.
Alipofika nyumbani alishangaa wadogo zake kumkimbilia huku wakilia
"Dada wewe ni mzima?" walimuuliza
"Ndiyo kwani vip" akawajibu
"Tulikuwa na wasi wasi sana" waksema
"Kwa nini?" akawajibu
"Baba alipoke simu na akawa anaongea kwa wasi wasi hapa huku akitaja jina lako baade akatoka akikimbia na kuondoka na gari hivyo tukahisi labda umepata matatizo" wakamweleza
"Niko salama wadogo zangu msijal" akawajibu
Maongezi yake yalimshtua sana Shida,moja kwa moja akili yake ikaenda kwenye siri aliyoitoa,
"Inamaana nilikuwa nafatiliwa? Basi rafiki yangu Mwajuma yuko kwenye hatari kubwa" aliwaza
Pale pale akaanza kupiga namba ya simu ya Mwajuma na cha ajabu ikawa inaita tu bila kupokelewa.
Alijalibu mara nyingi lakini majibu yalikuwa yale yale! Haikupokelewa!
Aliondoka mkuku mkuku kuelekea nyumbani kwa rafiki yake Mwajuma.
Alipofika moja kwa moja akaingia ndani kwake kwani alikuta mlango ukiwa wazi, akakuta simu ikiwa kitandani ila muhusika akiwa hayupo.
Alitoka na kujalibu kuulizia baadhi ya wapangaji ila wengi hawakuwa na jibu,baadae mmoja aliyekuwa ndani ndo akatoka na jibu alilokuwa akilihitaji.
"Mwenzangu! Huyu mwenzetu keshapanda hadhi,anachukuliwa na mabwana wenye magari,wameshamchukua na kuondoka naye kwenda viwanja" aalijibu kiwivu wivu.
Shida nguvu zilimwishia sana, alitaka kukaa chini ila akajikaza na kurudi nyumbani.
"Hapa hapafai tena kukaa, inabidi nitoloke haraka" aliwaza
Alipofika aliingia moja kwaa moja chumbani kwake na kukusanya nguo zake na kisha kuzirundika kwenye begi bila kuzipanga ili awahi kutoloka.
Wakati akijiandaa kutoka chumbani ghafla akasikia geti likifunguliwa na gari ikiingia,alipochungulia dirishani akamuona baba yake akishuka na vijawa wengine watati wakaongea kidogo kisha wale vijana wakaondoka na baba yule akaenda kuongea na mlinzi kisha akaingia ndani.
"Nimekwisha mimi! Nitafanyaje Mungu wangu" aliwaza
Akarudisha vitu chumbani na kuingia kulala moja kwa moja.
"Shisa amerudi?" aliwauliza watoto
"Ndiyo na ni mzima baba,amelala" akajibiwa
"Mwamsheni aende akasaidiane na dada wa kazi kupika,leo nahitaji niwahi kulala nimechoka" alitoa maagizo ambayo Shida aliyasikia moja kwa moja kutokana na sikio lake kulitega sebuleni.
Ujumbe ulipomfikia aliamka na kwenda jikoni kusaidiana na dada wa kazi kupika
"Dada vip? Unaumwa? Mbona unatetemeka hivyo?" aliulizwa na yule msaidizi wa kazi.
"Fanya yako, me siumwi" alijibu kiufup
Baada ya chakula kuwa tayali kilipangwa mezani kisha Shida akaenda tena chumbani wakati wenake wakiingia kula.
"Vip? Mbona Shida haji kula?" akauliza Alex
"Amesema ameshiba,ila sijui anaumwa kwa sababu alikuwa anatetemeka sana wakati tunapika,ila nilipomuuliza akakataa" alijibu binti yule
Alex aliposikia hivyo akaelewa tayari Shida amejua kilichotokea
"Hastahili kuendelea kuivuta pumzi ya Dunia hii" aliwaza
Walipomaliza kula Alex aliamrisha kila mmoja akalale mapema ili na yeye apate nafasi ya kutimiza majukumu yake.
"Huyu naye inabidi aondoke,tayalu ameshajua kinachoendelea,hivyo njoeni saa saba tumchukue" aliwambia vijana wake kwenye simu.
Saa saba usiku Alex alikuwa ndani ya chumba cha Shida huku Shida akilia na kumbembeleza amsamehe na hatamwambia mtu yeyote yule tena.
"Kama unahitaji msamaha itabidi ufanye navyotaka,tunaanza na kufanya mapenzi,jitahdi kuonesha uwezo waako ili nikusamehe" akajibu
Shida hakuwa na ujanja,alimfata baba yake na kuanza kumpapasa huku akimwonesha ujuzi wake wote
walipokuwa tayari wakafanya mapenzi huku Shida akijitahdi kumrishisha baba yake yule mpaka wakatosheka.
"Samahani Shidam sitaweza kukuacha hai kwani utakuja kuleta matatizo makubwa" alisema na kumpulizia dawa ya usingizi!
Walimbema Shida na kutoka naye nje na huko wakampakia kwenye gari na kuondoka naye kwa sped kubwa sana.
Gari ile iliacha mji wa Dodoma na kushika njia ya kueleke Singida huko walienda kilomita zaidi ya hamsini na kukutana na pori kubwa sana.
Waliingia ndani ya lile pori na kuingia ndani kabisa kisha wakashuka na kumbeba kutoka kwenye gari na kuingia naye ndani kabisa ya pori lile
Usingizi ukaanza kumuishia Shida akashtuka na kukuta kabebwa mgongoni huku kafungwa kamba na huku mdomoni akiwa amejazwa matambala
Hakuwa na uwezo wa kuongea wala kupambana kwa namna yeyote ile.
Walipofika ndani kabisa wakamshusha na kumlaza chini
"Nimeua watu wengi kwa mkono wangu na hata siri ya mafanikio yangu katika maisha mama yako alikuwa haijui kuwa ni mauaji,ila kwako sitaki hatia ya kifo chako ibaki katika mikono yangu,utakufa kifo cha taratibu sana huku porini,kwa kukosa chakula na pia kukosa hewa,mimi najiondoa lawama,najua huwezi kupona hakika utakufa ila ukiweza kujiokoa basi hongera yako." aliongea Alex
"Nisamehe sana tena sana, ila sina jinsi zaidi ya kufanya hivi,kwa sababu ya mdomo wako na mimi nahitaji unyamaze milele,kwa heri Shida" alimaliza kuongea
Shida hakuwa na uwezo wa kujibu chochote kile kwa sababu ya kufungwa kila sehemu na mdomo wake kuzibwa
Walipohakikisha sehemu waliyomuacha ni salama na hakuna uwezekano wa watu kufika pale waliondoka.
Alex alirudi mpaka nyumbani na kuingia kulalala huku akiwa na furaha sana kwa kufanikiwa kumnyamazisha Shida aliyekuwa akionekana ikwazo kwake.
Asubuhi alichelewa kuamka maksud na kuamka saa nne
Wanaye walikuja kumsabahi kama kawaida
"Dada yenu yuko wapi?" akajidai kuuliza
"Hajaamka bado baba" wakamjibu
"Kamwamsheni basi kumekucha sna" akawaambia
Wakaondoka kwa kukimbia mfano wa kufukuzana wenyewe kwa wenyewe
Baada ya muda wakarudi wote pale wakiwa peke yao
"Baba dada hayupo chumbani kwake" walimjibu
"Ameenda wap asubuh yote hii??" akauliza
"Hatujui baba" wakajibu
Wakajalibu kumuuliza dada wa kazi lakini jibu likabaki lile lile kuwa hajui chochote
"Wee umemfungulia geti mtu yeyote leo hii kutoka humu ndan?" mlinzi aliulizwa
"Hapana bosi,sijamfungulia mtu" akajibu
"Ina maana hujamuona Shida akitoka humu ndani?" akaulizwa tena
"Sijamuona bosi" aakajib
"Shida hayupo ndani humu,kwa sababu hiyo inabidi uwe mkweli la sivyo utaumia" akatishiwa
"Bosi huo ndo ukweli,mimi sijamuona jaman" akajitetea
Taarifa ikatolewa kwa ndugu na jamaa na pia kituo cha polisi juu ya kupotea kwa Shida
Ndugu na jamaa wakarudisha jibu la kutoonekana huko makwao
Siri! Siri ikabaki ndani y moyo wa Alex na vijana wake pale yao,ila alionesha ushilikiano wote katika kumtafuta.
Upande wa Shida siku ya kwanza iliisha akiwa porini bila kupata msaada wowote ule
Hatimaye njaa ikaanza kumsumbua taratibu
"Mungu nisaidie mja wako,angalia mateso ninayoyapitia bila kupenda nisaidie mja wako tafadhali" aliwaza
Njaa iliendelea kumsumbua sana na huku baridi ikiendelea kumsumbua
Usiku huo pia ukawa mgumu zaidi kwake kwani hakupata japo lepe la usingizi mbu walimsumbua sana na pia baridi ikazidi kumuandama,
Alizidi kumuomba Mungu amuepushe na kifo.
Siku ya tatu kuwa pale njaa ilimzidia sana akaanza kuhisi nguvu zikimwishia na pumzi kuanza kupotea
Siku ya nne ilikuwa ngumu zaidi kwa Shida kwani hakuona dalili za yeye kupona
Alipofika jioni akaanza kuona giza machoni pake na na kwake akaona siku zake za kuishi duniani zimefika tamati
"EeeMungu baba,najua kipindi chote nimepitia mengi,nimefanya mabaya ambayo hayafai leo hii naona mwisho wa maisha yangu,nakuomba msamaha kwa yotemnipokee katika ufalme wako baba" aliomba taratibu
**********
* * * *
INAENDELEA