KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Mama Vanessa Sehemu Ya tatu (3)

“Shemeji usiwe na wasiwasi wala usiwaze sana wanawake bado hawajaisha huku duniani na kama kweli yule ndo mkeo na anayafanya yale huku wewe ukiangaika kumtafuta ili kujua alipo basi huna chako.”

Yalikuwa ni maneno ambayo yalizidi kumuuma Lucas na kutamani kama angefanya kitu. Bila kutarajia alinyanyuka na kusimama. Aliwaza kutoweka eneo hilo na kwenda sehemu nyingine kabisa mbali na upeo wa vitu vya kuumiza vilivyokuwa vikiendelea. Kimaro alimshika begani na kumwambia arudi kukaa.


“Vipi umekamilisha huo mpango?”.



“Nimekamilisha kwa kiwango kikumbwa”.Kimaro alijibu huku akimpa simu yake ili aweze kuangalia. Aliziona picha na jinsi mkewe alivyokuwa amekumbatiwa na boss wake. Alishindwa kujizuia machozi yalimtoka.


“Jamani Lucas usiwe na roho ndogo hivyo wewe ni mwanaume usilie jipe moyo”alisema Yule msichana aliyekuja mara ya pili.Msichana huyo aliongea kwa upole huku akitoa kitambaa chake na kumpa afute machozi. Lucas alisista kukichukua lakini mwanamke huyo kwa ujasiri alijisogeza zaidi na kumfuta machozi. Ilikuwa ni faraja kwa Lucas kwani alichukua glass akaminiia kinywaji chake na kunywa. Alikunywa kwa nguvu kisha kushusha chini. Aligonga meza kwa nguvu kuwa aongezewe kinywaji. Muhudumu alikuja na kumuongezea. Sasa ilikuwa ni kunywa kwa nguvu ili kutafuta stimu za kupunguza mawazo. Kila mtu alikunywa kadri alivyoweza na nikama boss na mke wa Lucas walishtuka na kutoweka ghafla eneo hilo. Wao wakabaki wanaendelea kula raha na kujaribu usahau shida ambazo walikuwa nazo.


“Sasa ni saa ya utambulisho, kila mtu akae kimya” aliropoka Kimaro.


Watu wote walicheka maana kumbe wengine hapo mezani walikuwa hata hawafahamiani. Kimaro akanza kujitambulisha yeye.



“Mimi naitwa Godfrey Kimaro kijana mdogo mwenye mafanikio hapa mjini”.Wote kwa pamoja walitabasamau.



“Mimi naitwa Lucas Manyama mwanaume ambaye namiliki mke mzuri mjini lakni Boss akanipokonya”..Hapo kila mtu akaangua kicheko huku Lucas akitingisha kichwa kuonesha masikitiko yake juu ya jambo hilo.



“Mimi naitwa Julieth mpenzi wa kijana mwenye mafaniko hapa mjini”



“Mimi naita Juliana pacha wa Julieth”.




“Safi sana sasa timu imekamilika na hatuwezi kukubali mziki uishie chini. Kila mtu amshike mtu wake tunaenda mbele kucheza.” Kimaro aliongea huku akimnyanyua Julieth. Pombe ilikuwa imekolea na hao taratibu walisogea mbele kwenda kucheza mziki na kuwaacha Lucas na Juliana wakiwa wanaangaliana.Juliana hakuwa na aibu maana na yeye pombe ilikuwa imekolea. Alisimama akajitingisha tingisha kidogo kwa madaha nakuonesha ni jinsi gani alivyoumbwa akaumbika. 
Macho kodoo macho ya Lucas yalimkodolea huku akimkagua kuanzia kifuani kushuka chini. Juliana akanyanyua mkono mmoja kisha akampatia ishara kuwa wanyanyuke. Lucas alikuwa ni mtu mwenye aibu sana hivyo alikuwa akijifikiria kwenda mbele kucheza muziki. Lakini mikono laini ya Julaina ilitosha kumsisimua na kumuinua kutoka pale kwenye kiti.




Hao walisogea mbele na kuanza kucheza. Mbele kulikuwa na watu wengi hivyo ilikuwa ni swala la kubambia kwa kwenda mbele. Sasa ilikuwa ni fursa ya Lucas kuona ulimbwende wa binti huyo. Kwa kweli alichanganyikiwa na alitamani hata kumtongoza usiku huo huo. Alijizuia lakini kitendoa cha Juliana kuzungusha nyonga na kumtingishia makalio kilimfanya kumtamani mlimbwende huyo. Juliana naye alimwonea sana huruma na aliamua kumfanyia vitu ambavyo vingempa faraja usiku huo. Alikuwa akicheza na binti huyo huku mawazo yake yakiwa kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anaitwa Mama Vanesaa. Aliifikiria ile sauti ambayo ilionekana ya binti mdogo kabisa na jinsi mwanamke huyo alivyoamua kujitambulisha kwa jina mama Vanesa. Baadaye walirudi kukaa na sasa walikuwa wameagiza nyama choma. Walikula na wakati wakiendelea kula simu ya Lucas iliita na kuangalia alikuwa ni mama Vanesa. Alikata na kumuomba amtumie sms kwa kuwa yupo kwenye kelele.


“Nimepata dharura ambayo itanifanya kesho kutwa nisafiri hivyo nilikuwa naomba kama hutojali tukutane kesho nikueleze matataizo yangu kisha tupange mikakati ya kusaidiana kwa sababu matatizo yako tayari nayajua.” Meseji kutoka kwa mama Vanesa ilisomeka hivyo.


“Kula brother nataka nikupe huyu mtoto Juliana ukalale naye upunguze hata mawazo.”Iliingia meseji ingine kutoka kwa Kimaro.

Alitabasamau kimoyomoyo na kujisemea kama litataokea hilo basi itakuwa bahati ya mkenge. “Mtoto mzuri hivyo nitamla mpaka aimbe zeze”aliendelea kuwaza huku akiweka finyango ya nyama mdomoni.Mara Juliana na yeye alichukua nyama na kumlisha jambo lililozidi kumsisimua na kujikuta akitamani hata kumrukia muda huo. Viungo vingine vya mwili navyo vilishasimama kwa hisia za mahaba…

Waliendelea na sasa Kimaro alikuwa akitumia jina lake na uwezo wake wa kushawishi kumtaka mpenzi wake Julieth aweze kumkubali Lucas na ikibidi ampe faraja usiku huo. Kwa hiyo kulikuwa na mawasilaino na watu walikuwa wakichati hapo. Julieth alikuwa akichati na Juliana na kumshawishi atumie uwezo wake wa kike kuwa na Lucas maana ni mwanaume mwenye mafanikio na hueda akawa mpenzi mzuri. Juliana hili swala kwake lilikuwa gumu kwa sababu tayari alikuwa na mpenzi mpya mara baada ya mchumba wake wa muda mrefu kuzinguana. Huyu mpenzi mpya alikuwa hafahamiki na mtu yeyote na ndio maana pacha wake alikuwa akimpigia chapuo ili kuona kama anaweza kuwa naye. Juliana hakuwa mjanja kama Julieth hivyo aliweza kumshawishi ingawa Juliana alikuwa akisingizia kuwa siku hiyo hakuwa poa labda siku ingine.



Muda ulizidi kwenda na baadaye Kimaro aliamua kutumia nguvu kwa maana alilipa vitu vyote walivyokuwa wanadaiwa kisha waliiingia kwenye gari na safari ya kueleka pasipojulikana ilianza. Kimaro alipakia gari kwenye moja ya lodge ambayo ilikuwa inamilikiwa na baba yake. Julieth na yeye alishangaa maana hakujua kama ilikuwa ni ya kwao.Walishuka na kuwa tayari alishaongea na wahudumu wa hapo kuwa anakuja na wageni tayari alishawekewa.Alipewa funguo za room zilizofuatana. Wakati Julieth na Julaina waliabaki wameduwaaa tu wasijue nini kilikuwa kinaendelea. Julieth alikuwa akijiuliza maswali mengi kwa nini siku hiyo huyo mwanaume hakutaka kumpeleka kwake kama alivyozoea na kwa nini ameamua kuingia gharama hizo. Mwanzo alidhani kuwa walikuja hapo kuwaleta Julaina na Lucas lakini aligundua sivyo mara baaada ya kuona Kimaro akikabidhiwa funguo mbili. Kimaro yeye baada ya kupewa zile funguo alimkabidhi moja Lucas na kumwambia kazi kwako. Alimshika Julieth mkono na kuwaaga kwa kuwambia usiku mwema. Hao kwa mwendo wa madaha waliingia kwenye chumba chao.


Juliana na Lucas walibaki wamesimama na kuduwaha tu wasijue nini cha kufanya kwa wakati huo.Waliangaliana na kila mmoja alionesha kuwa alikuwa akimwogopa mwenzake. Waliogopana kwa sabbau mwaznoni hawakuwa na makubaliano ya aina yoyote kuwa watalala pamoja. Lucas baada ya kuona mrembo yupo njia panda na hana njia ingine ya kuondoka hapo alimkabidhi funguo. Juliana alisita kuzipokea na kubaki amesimama akimshangaa tu. Lucas sasa iliamua kutumia njia za kiume mara baada ya kugundua kuwa msichana huyo hawezi kuondoka. 

Alimnyanyua juu juu na kwenda naye moja kwa moja mpaka kwenye chumba ambacho walitakiwa kuingia. Hata Juliana alishangaaa mwanaume huyo amepata wapi nguvu za kumbeba juuju. Alivyofika alifungua mlango kisha kuingia naye ndani.Alimbwaga kitandani huku akihema kwa nguvu utadhani punda aliyeutua mzigo mzito. Kweli wanaume wanakuwa na nguvu linapokuja swala la mapenzi. Unaweza kukuta mwanaume ana kilo pungufu na mwanamke lakini akambeba bila matatizo yoyote.



Juliana alijilaza hapo kitandani huku akilaala na tumbo na kuacha kijungu mbinuo kikiwa juu. Kinguo kifupi alichokuwa amevaa kilipanda kwa juu na kufanya weupe wa majapa yake yaliyojazia kama godoro la Dodoma kuonekana. Lucas alipiga magoti kisha kwa utaratibu alimvua viatu na kuvishusha chini. Juliana alijigeuza na kupandisha miguuu juu ya kitanda kabisa.



ITAENDELEA KESHO....
Powered by Blogger.