KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Simulizi : Shida Sehemu Ya Saba (7)

Hadithi nzuri ya kusisimua ya shida
"Haaa!! Baba ni wewe ??????" Alihamanika!!

Shida hakuamini maskio yake,alibaki kujiuliza kama ile ni ndoto au ni kweli

Mwilli wake ukapigwa na ganzi kiasi kwamba baba yake aliendelea kufanya ule ufirauni huku yeye hasikii chochote

Machozi yakaanza kumtililika shavuni kwake taratibu,bado hakuwa akiamini kile alichokisikia

"Hivi ninaota? Ni kweli wewe ni baba ?" aliuliza

"Acha kushangaa Shida, we onesha ushilikiano kwa sababu hili limeshatokeaa tayali" Aliongea bila aibu Alex

"Bado siamin, kwa nini unnifanyia hivi baba?" akauliza

Alex hakumjibu kwa sababu kipindi hicho ndipo alikuwa keshakoleakwenye tendo hilo,ambalo yeye alifurahia bila kujua mwenzake hahisi chochote kile kutokana na ganzi la mshtuko lililomkumba

Aliendelea kufanya mapenzi na Shida huku akilia kwa uchungu sana,alifanya mpaka alipotosheka na kutoka mwilini mwa Shida

"Kwa nini umenifanyia hivi laini baba? " aliuliza huku akilia Shida

"Nilishindwa kuvumilia Shida,hasa nikiuangalia uzuri wako nisamehe tafadhali" Akajibu Alex

"Lakini kwa nini unanifanyia hivi?" akauliza Shida

"Sijapenda kufanya hivi Shida,ni shetani ndo kanipitia naomba unisamehe tafadhali usimwambie mama yako" Akabembeleza Allex

Shida alilia kwa muda mrefu bila kujibu chochote kile mpaka baba yake akaondoka na kurudi chumbani kwake

Usiku mzima Shida aliutumia kuwaza sana juu ya kile kilichomtokea, alifikilia juu ya kumwambia mama yake ila akaona inaweza kuleta matatizo makubwa sana hasa kwenye familia yake

"Nifanyeje Mungu wngu? Na je ikitokea kwamba kweli nimenasa mimba? Si nitaumbuka mimi jaman? " alikuwa akiwaza mwenyewe

Siku iliyofuata aliamka na kujifanyia usafi na kisha akaungana na wenzake kunywa chai na hakutaka kuonesha tofauti yeyote ile

"Dada vip leo tutaenda wote kutembea mbugani ?" mdogo wake alimuuliza

"Ataenda usijali, si unaona yuko sawa kabisa " akajibu Alex utafikiri ndiye aliyeuliza

"Nitaenda mdogo wangu" na yeye akajibu

Walienda na kutembea mbugani ikiwa ndiyo siku ya mwisho kwao kutembelea mbuga zile ili kesho yake waondoke kurudi nyumbani

Wakiwa huko baba yake alijitahidi kuweka mazoea na Shida ila hakupata ushilikiano wowote ule

Shida hakuwa akimjibu chcochote kila mpaka wanarudi kambini jioni ile

"Mmmmmmmh! Huyu mtoto mbona simwelewi? Asije kuhalibu huko nyumbani? Mmmh! Ngoja nisubiri usiku wa leo nione" aliwaza Alex



Hakujua mwenzake anapanga nini kwenye akili yake

Jioni kama kawaida walienda kula pamoja na kama kawaida Alex akajaribu kumshawishi Shida anywe pombe ila akagoma kabisa

Muda wa kwenda kulala Shida aliondoka na wadogo zake na kwenda kulala kwenye chumba chao

"Dada kwa nini huendi kulala kwako?" mdogo wake alimuuliza

"Leo nimejisikia nilale na nyie" akajibu kiufup

Hali ile ilimuumiza sana Alex,aliona kama asipokuwa makini Shida atamhalibia kila kitu,hakujua mpaka muda huo Shida anawaza nini?

Kwa upande wa Shida aikuwa kwenye wakati mgumu sana,aliwaza sana juu ya uwezekano wa kuwa mjamzito na afanyeje lile tatizo liishe na lisimhalibie mama yake ndoa yake .

"Nitaitunza hii siri ila tatizo ni pale nitakapokuwa na ujauzito" aliwaza

Asubuhi waliamka na kujiandaa kisha wakaondoka kurudi nyumbani,Njia nzima Alex alijitahidi kujiweka kalibu ya Shida ila bado hakupata ushilikiano wowote ule

"Dah! Najuta kwa nini nilifanya kitendo kile, huyu mtoto ataniumbua, nifanyeje?" aliwaza

Walipofika nyumbani Dodoma wakati wakiingia ndani Alex alishangaa Shida akimshika shati na kumwambia pole pole

"Nahisi nimepata mimba"

Baada ya kusema hivyo alimwachia na kuingia ndanimama yao aliwapokea kwa furaha kubwa sana ila Shida hakuonesha furaha yeyote ile na wala hakumchangamkia mama yake

"Shida mwanangu vip? Mbona unaonekana hauko sawa? Kuna nini?" akauliza mama mtu

"Ndiyo mama nina tatizo kubwa sana " Alisema Shida

Alex alishtuka saana!!!!!!!

Shida aliposema kwa mama yake kuwa anatatizo Alex alishtuka sana,alijua kuwa sasa anaenda kulipuliwa na binti huyu

"Aaah! Nafikili Shida ungepumzika kwanza kisha ndo upate nafasi ya kuongea na mama yako hayo matatizo yako" aliingilia kwa nia ya kujikinga na kile alichotaka kusema Shida

"Hapana mme wangu kama mwanangu ana Shida mwache aongee mwenyewe shida yake,na tena kama ni mambo ya kike ni bora uondoke aniambie mwenyewe" akaingilia mazungumzo mama mwenye mji

"Aaaah! Hapo sasa mnavuka mipaka mimi sikuachii kabisa mke wangu,kwanza nimekukumbuka sana hivyo hayo maongezi baadae, kwanza Shida ungeondoka hapa utupe nafasi ya kuongea wazazi wako" akajalibu kuleta upinzani

Shida alimwangalia baba yake kwa jicho kali na baya sana mpaka mama yake akashtuka

"Wee Shida, mbona unamwangalia baba yako hivyo? Mn nini nyie?" akauliza mama

"Mama shida yangu ni moja tu,shuleni kuna mambo mengi ambayo niliondoka sijayakamilisha hivyo naomba niwahi kuondoka ili nikayakamilishe kabla ya kuanza masomo tafadhali mama " Shida alieleza tatizo lake



Shida aliomba kuondoka pale nyumbani akiwa na minajili ya kukaa mbali na Alex na pia kuepuka aibu ya kukutana na mama yake ilihali ametembea na baba yake



Alex alipumua kwa nguvu sana baada ya shida kusema hayo, kwa akili yake alifikili Shida anaenda kulipua bomu la yeye kumbaka

"Mwanangu ni wewe tu, mambo ya shule yako nilishakwambia utakavyoamua ni sawa mimi ninachotaka ni wewe usome kwa bidii na kufaulu mwanangu" akajibu mama

Baada ya hapo Shida aliondoka na kuwaacha wakiendelea na maongezi yao mawili matatu na kisha wakaingia kulala

Shida alianza maandalizi ya kuondoka huku akipanga na kuwaza nini atakachofanya endapo atagundua kuwa anaujauzito na mama yake akifaham

"Mama amekuwa akiniusia sana juu ya kujitunza hivi akijua haya itakuwaje? Ee Mungu nisaidie" alikuwa akilia kila mara

Alex alijalibu kwa mbinu zake zote kutafuta nafasi ya kuongea na Shida juu ya lile swala alilomuambia la mimba ila Shida hakumpa nafasi ya wao kuwa wawili

"Hivi huyu mtoto akiondoka bila kufikia mwafaka juu ya hili swala lake na huko anakoenda ikagundulika nitakuwa mgeni wa nani? Nifanyeje mimi?" alikuwa akiwaza sana Alex



* * * *



Siku zikaenda na Shida akasafiri na kurudi shuleni huku nyuma akimwacha Alex akiwa na mawazo sana na yeye pia akiwa afanyeje juu ya lile swala lake.

Alipofika shuleni alimfata rafiki yake aliyekuwa akimwamini sana na kumweleza kila kitu kilichomkuta na kumwomba ushaur

"Shost kwanza tukapime,usijiamin kumbe hujanasana" alishaur Lina rafiki yake na Shida

Wakapanga safari ya kwenda kwenye dispensary iliyokuwa mbali na shuleni kwao na kupima ujauzito, baada ya muda majibu yakatoka

"Binti majibu ya vipimo vyako yanaonesha una ujauzito na sasa una wik tatu, jitahidi uanze kuhudhulia kliniki mapema iwezekanavyo" Dokta aliwaambia

Shida hakushtuka kwa alichikisikia ! Kwa sababu tangu mwanzo alishajishtukia kuwa ana mimba

Waliondoka na kurudi shuleni huku Shida akiwaza sana juu ya lile

"Rafiki yangu maji yamefika shingoni! Ingekuwa kutembea na baba peke yake ningetunza siri sasa mimba nitaifichaje?" alilalama

"Best hapa hakuna jinsi! Inabidi utoe tu, ingekuwa ni mimba ya mwanafunzi mwenzako au mtu mwingine ningekushauri uzae kisha uendelee na masomo ila baba yako? Mmmh! Hakuna namna" Lina alishauri

Shida alikuwa kwenye wakati mgumu sana juu ya swala hilo, hakuwa na jinsi ikabidi amtafute Alex kwenye simu na kumweleza

"Wewe!... Nimepima na ni kweli nimepata nina ujauzito" aliongea kwa hasira na baba yake huyu

Alex alitulia na kufikilia sana mwishowe akatoa uamuzi

"Hatuna cha kufanya zaidi ya kuitoa" alijibu kwa kujiamin

Mzee aliendelea kusisitiza kuhusu uwezekano wa ile mimba kutolewa

"Unapotaka niitoe hii mimba na je ikitoka na mimi nikafa? We huogopi hilo?" akauliza Shida

"Hilo ni swala lingine na haina haja ya kuliwazia kwani ukiliwaza litatokea kweli, cha msingi wewe hiyo mimba kubali itolewe, unafikiri jamii itanichukuliaje itakaposikia nimekupa mimba?" akasema Alex

INAENDELEA

Powered by Blogger.