KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo: Mama vannessa sehemu ya kumi na moja (11)

hadithi nzuri ya kusimumua ya mapenzi
“Leo upo na vijana wenzako huna haja ya kuwa na wasiwasi. Sahau hata mawazo ya kuumizwa kimapenzi na baba Vanessa..

“Ni sawa lakini nitamwambia nipo wapi au nimelala wapi.

“Kwanini yeye anavyoondokaga na kulala nje ya ndoa huwa anakwambai ukweli kuwa amekwenda kukusaliti?

“Hapana”

“Sasa na wewe tafuta uwongo mtakatifu”

Ilibidi na wao waanze kupiga hatua na kuondoka eneo hilo. Walivuka tena na boti na kutoka nchi kavu. Lucas alikuwa ameenda na gari hivyo waliingia kwenye gari. Mama Vanesa licha ya kuwa alikuwa amechoshwa na tabia za mumewe lakni pia mumewe alikuwa hana uwezo wa kumrizisha kitandani. Huo ulikuwa ni ukweli ambao haupingiki kuwa mume wake hakuwahi kurizisha hasa siku hizi za karibuni ingawa kipindi kile wameanza uhusiano wao alikuwa akifurahia. Alichokifanya mama Vanesa ni kuzima simu na alimtumia sms mume wake kuwa simu yake inazima chaji. Hakumwambia kuwa hatorudi nyumbani wala nini. Waliondoka na kuenda hiyo sehemu ambayo Kimaro alisema. Mama Vanesaa aliamua kuamishia mawazo yake kwenye kujipa raha usiku huo. Mpaka muda huo alikuwa hajaelewa kama Lucas anampango wa kulala naye au ndo kama vile aivyomwambia. Na kama atalala mwenyewe basi kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo.

Waliingia sehemu ambayo palikuwa pamechangamka sana. Ilikuwa ni sehemu ambayo ilionekana ni ya gharama maana muziki laini ulikuwa ukiimbwa live. Ingawa nyimbo zilizokuwa zikiimbiwa zilikuwa ni nyimbo za zamani lakini ziliwavutia. Haraka haraka waliagiza na kuendelea kunywa huku wakisubri nyama choma. Hapo hapakuwa ana longolongo ya kusubiri muda mrefu. Nyama zilikuja na wakaendelea kula.Wakaendelea kula na kunywa.Wote walizidi kuchangamka na wakajikuta wanatamani kucheza musiki. Lucas na Kimaro wakawa tayari wamepanga mambo hayo. Akaanza Kimaro kuamka na kumchukua huyo mwanamke aliyekuwa naye na kuanza kucheza naye. Lucas na yeye akajifanya kuwa uzalendo umemshindwa.Alimnyanya mama Vanessa na kuanza kucheza naye musiki.

Walianza kucheza huku Kimaro alikuwa akirekodi lile tukio na kuchukua picha. Lengo ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa kumrusha roho boss. Lucas alijifanya amelewa maana alikuwa akicheza na mama Vanesa kama mtu na mpenzi wake.Burudani iliendelea mpaka mida ya usiku. Kwa kuwa Kimaro siku hiyo hakutaka kukaa sana waliamua kuondoka . Waliingia kwenye gari na kitu cha kwanza walichofanya ni kuwapeleka Lucas na Mama Vanesaa kwenye ile hotel ambayo walikuwa wao mwanzo. Tayari kamera ziliwekwa kwa ajili ya kuwarekodi. Kamera ziliwekwa kisiri mradi tu kupata picha za matukio ambayo kama boss wake akiziona basi lazima atakufa kwa presha. Lucas safari hii alibadilika alikuwa tofauti kabisa na mwanzo hakuwa mtu wa kujadiliana zaidi aliongoza mpaka pale kwenye chumba walichokodi. Vitu vya mama Vanesa vilikuwa humo na hivyo kwake yeye ilikuwa ni faida lazima mwanamke huyo angeingia humo.

Waliingia wote na Lucas alifunga mlango kisha akajitupa kitandani. Alijifanya kuwa alikuwa akisikia vibaya na pombe zilikuwa zimemzidi hivyo alihitaji kupumzika. Mama Vanesa alisimama kama mlingoti kisha akatupa swali la kizushi.

“Kwa hiyo Lucas unataka kulala na mke wa boss wako chumba kimoja”
CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Najua ni ngumu sana lakini naomba mama Vanesaa unikumbuke katika ufalme wako..Kama ikukupendeza unizawadie zawadi ya faraja usiku huu la ikikuchukiza basi nitalala hata chini kama sio chooni”

Maneno ya Lucas yalimtoka kwa hisia sana na alijaribu kujishusha na kuonesha kuwa alikuwa akitamani penzi la mke wa boss ingawa ni kwa hiyari sio lazima. Maneno yale yalimuuma sana mama Vanesa na akaijikuta akimuonea huruma. Alikumbuka pia jinsi kijana huyo alivyokuwa akitia huruma alipokuwa akimwelezea ni kiasi gani anapata uchungu kwa kupokonywa mke wake.Roho ya huruma ilimjia na kumfanya amsogelee pale na kuanza kumpapasapapsa.

Mwili wa Lucas ulisismka na kutamani kumrukia mwanamke huyo. Alikuwa sasa na uhakika kuwa anaweza kuonewa huruma na pengine kutimiza lengo lake ambalo kiukweli halikuwa kupata penzi la mke wa boss. Lengo kubwa hapo ilikuwa ni kupata picha ambazo zitamwezesha kumrusha boss roho. Mama Vanesa alijisogeza hadi kwenye mkoba wake akafungu na kutoa khanga Alijifunga kisha kupunguza baadhi ya nguo. Kulikwa na kibaridi kidogo lakini kwa kuwa alikuwa na uhakaki maji ya moto kwenye hotel hiyo ya kifahari sio tatizo basi aliingia bafuni kuoga. Lucas alijifikiria cha kufanya haraka haraka akapata wazo kuwa na yeye aingie bafuni. Bila aibu aliingia bafuni na kumkuta mwanamke huyo akiwa uchi wa mnyama huku tayari akiwa amejipaka sabuni sehemu za mwili wake. Mama Vanesa alishtuka kidogo kumuona na aibu ilimpanda.

“Noamba nikusugue”Lucas alisema.

“Unisugue nini huku bafuni bwana”Mama Vanessa aliongea kwa sauti ya kudeka.

“Nikusugue mgongo”

“Toka lini mgongo ukasuguliwa wewe sema unataka kunisugua nanii” Mama Vnesa aliogea huku akimpa mgongo.

Lucas akajisogeza zaidi na kuaza kumsugua mgongo kwa kutumia dodoki lilokuwepo. Hakuishia mgongoni tu bali alimwogesha kama mtoto.Kitendo cha mama Vanesaa kuogeshwa kilimuamisha kutoka ulimwengu huu na kumpeleka ulimwengu mwingine kabisa. Alitamani kumsaliti mmewe na kuvunja amri ya kutokuzini nje ya ndoa. Lucas yeye hakuwa na hisia za haraka kwa maana ndo kwanza alichukua taulo na kuanza kumfuta futa kwenye maungio ya mwili wake.

Kila hatua kila jambo alilolifanya moyoni mwake alikiri kuwa mwanamke huyo alikuwa mrembo na boss alitumia pesa zake kuwa na wasichana wazuri na warembo. Alipomaliza kumfuta sasa ilikuwa ni zamu yake na alitamani kama mwanamke huyo angemwogesha. Ni kama alikuwa akilini mwake. Maana mama Vanesaa alianza kumwagia maji na kumuogesha. Alitumia mikono yake laini kumwogesha na kumpagawisha Lucas. Lucas mawazo ya kuogeshwa yote yaliyeyuka na sasa viungo vyake vilianza kusismka. Mawazo ya ngono yalimtawala. Alijaribu kupotezea lakini ilishindikana. Kiungo kikumbwa kuliko vyote kilisimama wima na kufanya mama Vanesa kuanza kukichezea. Alimaliza kumuogesha na kuchukua taulo kumfuta maji. Ilikuwa ngumu sana kwa Lucas kuhimili mambo yote hayo. Alimsogeza mpaka ukutanai na kuanza kumpapasapapasa. Wote walikuwa na mizuka ya ajabu kwa maana mama Vanesa alishika jogoo na kutaka kumfundisha kuwika.

INAENDELEA

Powered by Blogger.