KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora Sehemu Ya Kumi (10)

SIMULIZI NZURI YA KUSISIMUA
Basi mpaka mwisho wa mchezo wakajikuta wamemalizana hapohapo sebuleni huku kila mmoja akijisikia ameridhika na huduma waliyopeana.

"Baby ahsante sana nashukuru kwa burudani yako nzuri uliyonipatia" alisema Rozi huku akitabasamu na kumlalia kifuani kijana Japhet. "Na mimi pia nashukuru, nna imani sasa umeridhika?" Japhet aliuliza huku akichezea nywele za binti huyo zilizokwa vizuri kichwani mwake. "Mmh kusema ukweli wangu nimeridhika kabisa kutoka moyoni, lakini kuna jambo moja tu ambalo ndio sijaridhika nalo" alisema Rozi. Hapo Japhet akashtuka sana na kumuuliza:

"Ni jambo jambo gani tena hilo mpenzi wangu?" Japhet aliuliza kwa umakini.

"Kuhusu wewe kufanya mapenzi na Shemeji yako, hivi naomba kujua ni lini mmeanza huo mchezo?" Rozi aliuliza.

Japhet akashusha pumzi ndefu halafu akasema: "Yaani Rozi hauwezi kuamini ni Jana tu usiku ndio tulianza pale alipokuja kujigongea mlango wa chumbani" alisema Japhet. "Mmh ilikuaje sasa mpaka mkafikia hatua hiyo, augopi kama yule ni mke wa kaka yako?" Rozi alizidi kuhoji. "Najua kama yule ni Shemeji yangu na hapa nilipo najutia sana, lakini kwa mazingira ya Jana ilikuwa ngumu sana kwangu kumuepuka" Japhet alisema na akaanza kumsimulia Rozi mambo yote jinsi yalivyokuwa mpaka yeye akajikuta anafanya mapenzi na Shemeji yake Flora.

"Duuh kweli hapo una kazi ngumu sana ya kumuepuka, najua atakusumbua sana" alisema Rozi kwa unyonge na wivu.

"Yaani we acha tu na leo usiku ameniambia atanijia tena na kuhitaji tufanye tena mapenzi kwa mara nyingine" alisema Japhet. "Kwahiyo na wewe upo tayari kufanya naye mapenzi tena?" Rozi aliuliza kwa kukasirika kidogo.

"Hapana sipo tayari hilo jambo litokee tena, nina mpango wa kuondoka hapa ndani ya hii nyumba kabla mambo ayajawa mabaya zaidi na kaka yangu akajua" Japhet alisema. Rozi akashusha pumzi na kuuliza: "Una mpango wa kwenda wapi Japhet, na vipi kuhusu mimi na wewe ina maana ndio basi tena?" Rozi alimuuliza Japhet huku akimuangalia usoni. Japhet akakohoa kidogo na halafu akasema: "Yeah itabidi iwe hivyo, kwani nina mpango wa kurudi nyumbani kwetu Dodoma kwa wazazi" alisema Japhet.

"Hapana Japhet usifanye hivyo tafadhali, ukiondoka utaniacha na maumivu makali moyoni mwangu kwani mwenzio tayari nilishajihesibia nimempata mpenzi wa kudumu ambaye ni wewe halafu tena unataka kuniacha peke yangu kwanini?" Rozi aluliza kwa uchungu huku machozi yakianza kumtiririka kwenye macho yake.

"Sasa Rozi unafikiri nitafanyaje hapa ili kumuepuka huyu Shemeji yangu?" Japhet aliuliza huku akimfuta Rozi machozi kwa kutumia viganja vyake vya mikono.

"Hapana Japhet kwa hilo la kuondoka wewe na uniache mimi peke yangu sikubaliani nalo, kama vipi tutaondoka wote" alisema Rozi kwa msisitizo.

Japhet alishangaa sana halafu akauliza:

"Uondoke na mimi kwenda wapi, na vipi kuhusu kazi yako unayoifanya hapa?" Japhet aliuliza huku akimkazia macho Rozi. "Nitaenda na wewe huko kwenu Dodoma unapotaka kwenda, na hii kazi hapa nipo tayari kuiacha sitaki nikupoteze Japhet wangu" alisema Rozi kwa hisia.

Japhet akabakia anakuna kichwa chake na kujisemea moyoni mwake: "Duuh na huyu binti naye ameniganda sijui hata nitafanya nini" alijisemea Japhet.

"Basi sawa nimekuelewa mpenzi wangu, twende bafuni tukaoge halafu upike chakula tutalijadili hili jambo vizuri hapo baadaye" alisema Japhet na baada ya hapo wakainuka kwenye kochi hapo sebuleni na kuelekea bafuni kuoga.

Japhet kichwani mwake alikuwa na wazo moja tu la kuondoka hapa nyumbani kwa kaka yake ikiwezekana hata kutoroka ikibidi. "Na huyu binti naye nitamtoroka, siwezi kuondoka naye halafu nikaonekana nimemtorosha na ikaja kuniletea matatizo hapo baadaye" alijisemea moyoni kijana Japhet huku wakiingia bafuni kuoga wakiwa wamekumbatiana kwa Mahaba.

Kwa upande wa Rozi yeye alijisikia furaha moyoni mwake kuwa na Japhet na alikuwa yupo tayari kwa lolote juu ya kijana huyo hakuona shida kuacha kazi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Basi wakaweza kuingia huko bafuni na kufungulia maji na kuanza kuogeshana wakisuguana kwenye miili yao huku wakicheza michezo ya kimahaba na mwishowe wakajikuta wakajikuta tena wanakata kiu yao ya kimapenzi kwa Mara nyingine hukohuko bafuni. 

Baada ya kumaliza kuoga wakatoka bafuni na kila mmoja akaingia chumbani kwake kwa ajili ya kubadilisha nguo. Rozi akiwa yupo chumbani kwake akafungua kabati la nguo ili achague nguo ya kuvaa aende sokoni kununua mahitaji ya chakula cha mchana hapa nyumbani ndipo akajikuta akiangalia fedha yake aliyokuwa akilipwa hapa kama ndio mshahara wake ilikuwa inafikia shilingi laki tatu kutokana na kujiwekea utaratibu wa kuhiifadhi fedha yake kidogokidogo. 

"Hii laki tatu inatosha kabisa kwenda kuanza maisha na Japhet wangu huko kijijini kwao" alijisemea Rozi huku akiziangalia fedha hizo na baadae akazirudishia sehemu anapozihifadhi na halafu akachukua nguo ya nguo ya kuvaa ili aende zake sokoni. Japhet naye kule chumbani kwake alikuwa sasa ndio yupo anapanga nguo zake kwa ajili ya kutoroka hapa nyumbani kwa kaka yake.

 "Hapa navizia tu Rozi akitoka kwenda sokoni na mimi huku nyuma nasepa zangu saa hizi bado ni mapema sana nitapata basi la kunifikisha Dodoma" alijisemea Japhet huku akiendelea kupanga nguo zake ndani ya begi. "Yaani nikiendelea kubakia hapa huyu Shemeji ataniponza kwa kaka yangu, nitajumjulisha kaka kwa njia ya simu baada ya kufika Dodoma kuwa nimeondoka hapa kwake" aliendelea kujisemea Japhet. 

Baada ya hapo sasa akaangalia fedha zake alizokuwa nazo na kupanga mahesabu yake. "Hii laki moja aliyonipa Shemeji ndio itakuwa nauli yangu, na hii elfu arobaini kati ya zile elfu hamsini alizonipa kaka wakati anasafiri nitampa Rozi imsaidie kwa matumizi yake" alisema Japhet huku akitabasamu. Mara ghafla mlango wa chumbani kwake ukagongwa. Japhet akalificha begi lake la nguo na kwenda kufungua mlango huo!.



Mara ghafla mlango wa chumbani kwake ukagongwa. Japhet akalificha begi lake la nguo na kwenda kufungua mlango.

Japhet mara baada ya kufungua mlango akaweza kumuona Rozi akiwa tayari amependeza sana kwa ajili ya safari ya kuelekea sokoni. "Mmh nakuona mpenzi wangu umeng'ara sio mchezo" Japhet alimchombeza Rozi huku akitabasamu.

"Ahsante baby kama umefurahishwa na huu muonekano wangu" alisema Rozi.

"Yaani sana tu mpenzi, muonekano wako nimeupenda na unavutia sana" aliendelea kusema Japhet huku bado akiwa amesimama hapohapo mlangoni.

"Ahsante sana, sasa vipi baby si tutaenda wote sokoni unisindikize?" Rozi aliuliza.

"Hapana hatuwezi kwenda wote, hapa nyumbani atabaki nani sasa?" Japhet naye aliuliza. Rozi akatabasamu halafu akasema: "Jamani nyumba si tunaifunga milango yote, tunaenda mara moja halafu tunawahi kurudi" Rozi alisema.

"Sasa tukienda wote na halafu Shemeji akirudi ghafla akikuta hakuna mtu wewe unafikiri itakuaje? hebu nenda tu ngoja nikupe hela ya kupanda bodaboda" Japhet alisema na kurudi chumbani kwake kumchukulia Rozi hiyo hela ya kupandia bodaboda. Rozi naye akingia humohumo chumbani kumfuata Japhet.

Baada ya Rozi kuingia chumbani kwa Japhet akapata kuhisi kitu tofauti.

"Baby zile nguo zako unazoweka hapo kwenye henga ukutani mbona sizioni?" Rozi alimuuliza Japhet kwa mashaka.

Japhet akagutuka kidogo na kumjibu:

"Zipo nataka baadae nizifue kwani ni chafu" Japhet alimdanganya Rozi.

"Hapana Japhet naomba uniambie ukweli, unataka kutoroka enhe?" Rozi sasa aliamua kumpasulia ukweli kwa kumuuliza hivyo baada ya kuhisi kama mazingira ya humo chumbani yapo tofauti. "Siwezi kutoroka Rozi naomba uniamini hiki ninachokisema" Japhet alisema. 

Rozi akaenda mpaka kitandani kwa Japhet na kuketi halafu akauliza tena: "Pia hata begi lako la nguo nalo silioni, Japhet unataka kunikimbia si ndio?" Rozi alimuuliza Japhet kwa sauti ya huzuni. "Siwezi kukukimbia Rozi, kwani pale mwanzo si tulikubaliana kuwa tutaongea kwa kirefu kuhusu kuondoka pamoja" Japhet naye alizidi kujitetea.

Rozi akaanza kupepesa macho yake mle chumbani na hatimaye akaweza kuliona lile begi la nguo za Japhet alilolificha likiwa lipo nyuma ya kitanda kwa pembeni. Rozi akanyanyuka kitandani na kwenda kulichukua begi hilo na kulitoa.

"Si nilikuambia Japhet kuwa unataka kutoroka, mbona hili begi lako umelificha kule?" Rozi alimuuliza Japhet.

Japhet akabakia kimya anajikuna kichwa na kuona sasa tayari ameshagundulika ikabidi tu amuambie ukweli wake Rozi.

"Ngoja nikuambie kitu Rozi, mimi sina mpango wa kuondoka na wewe" Japhet alisema na kuendelea tena. "Mimi nakushauri ni bora tu wewe ukabakia hapa uendelee na kazi yako, mimi niache niende zangu" Japhet alisema.

"Siwezi kukuacha Japhet uondoke peke yako hapa tutaondoka wote sipo tayari kubaki peke yangu" Rozi alisema.

"Wewe Rozi una kichaa nini unaposema hauwezi kubakia peke yako unamaanisha nini, mbona kabla mimi sijakuja hapa ulikuwa unaishi?" Japhet alihoji.

Basi waliendelea kulumbana humo chumbani huku Rozi akitaka kuondoka na Japhet kwenda huko Dodoma anapotaka kwenda Japhet kwa wakati huu ili amkwepe Shemeji yake Flora na visa vyake. "Kwahiyo sijakuelewa Japhet, ina maana unamkimbia Shemeji yako au unanikimbia na mimi pia?" Rozi aliuliza.

"Nawakimbieni nyinyi wote wawili, mimi sina nguvu ya kufanya mapenzi na wanawake wawili wote kwa wakati mmoja tena mbaya zaidi na Shemeji yangu akiwemo" Japhet aliamua kufunguka na kuweka mambo hadharani.

"Kwani kuna ulazima wowote wa wewe kufanya mapenzi na huyo Shemeji yako? kumbuka huyo ni mke wa kaka yako hata kama anakulazimisha lakini unao uwezo wa kumkatilia sio lazima mpaka ufanye naye inabidi na wewe uwe na msimamo" Rozi alisema. Japhet akashusha pumzi na kuona kweli anachosema Rozi kina maana sana. 

Rozi akaendelea tena kusema: "Hata ukiamua kuondoka bado utakuwa aujamtendea haki kaka yako kumbuka amekuahidi kukutafutia kazi pindi atakaporudi kutoka safarini, sasa wewe leo unataka kuondoka unafikiri kaka yako atajisikiaje akikukuta haupo?" Rozi alizidi kumuweka kwenye wakati mgumu kijana Japhet. "Sawa Rozi mimi nimekuelewa hicho unachosema, lakini wewe aujui Shemeji ameniambia nini endapo kama nitakataa kuendelea kufanya naye mapenzi" Japhet alisema.

"Usiogope Japhet, Shemeji yako anakuambia hivyo ili kukutisha na wewe uendelee kumridhisha kimapenzi kama yeye anavyotaka kwahiyo usiogope vitisho vyake wewe kuwa tu na msimamo halafu tuone atakufanya nini" Rozi alisema. Japhet akajikuta anayelewa maneno haya ya Rozi na kuona kumbe ni ujinga endapo kama atatoroka hapa nyumbani kwa kaka yake eti kwa sababu ya Shemeji yake na wakati alishakubaliana na kaka yake kuwa atamtafutia kazi na yeye pia (Japhet) awe na maisha mazuri. 

"Basi sawa Rozi nimekuelewa mpenzi wangu, sitoroki tena nitabakia hapa niendelee kulifaidi Penzi lako" alisema Japhet huku akimkumbatia Rozi. "Nashukuru baby kama unaniahidi autatoroka, lakini nina mpango hapa nitakuambia leo usiku" Rozi alisema. Japhet akawa na hamu sana ya kuujua huo mpango wa Rozi. "Ni mpango gani tena mpenzi wangu?" Japhet aliuliza. Rozi akatabasamu halafu akasema: "Wala usiwe na papara utaujua tu, ngoja ifike usiku nitakuja chumbani kwako kukuambia nina imani mwenyewe utaupenda huo mpango" alisema Rozi.

Basi baada ya hapo Rozi akaweza kuondoka kwenda sokoni lakini kabla ya kuondoka akalichukua begi la nguo za Japhet na kwenda kulifungia chumbani ili huku nyuma Japhet asipate kutoroka.

Japhet tena akabakia sebuleni huku akiwaza na kuwazua. "Yaani sikutegemea kama huyu binti angeweza kunishauri kitu kama hiki, lakini nitawezaje kumuepuka Shemeji humu ndani na vile visa vyake?" Japhet alijiuliza peke yake. Hapo ndipo akaukumbuka ule mkwara aliopigwa na Shemeji yake (Flora) leo asubuhi kabla ajatoka kwenda saloon kwake kuwa kama atakataa kuendelea kufanya naye mapenzi basi ndani ya hii nyumba yeye (Japhet) atapata taabu sana na nyumba yote ataiona ya uchungu. "Ananitisha tu hawezi kunifanya kitu chochote" Japhet alijipa moyo na kuendelea kuangalia TV.

Hatimaye Rozi naye akaweza kurudi kutoka sokoni alipoenda kununua mahitaji ya chakula cha mchana na baada ya kumaliza kupika chakula hicho akampelekea Flora kule saloon kwake na chakula kingine wakaweza kula yeye na Japhet hapo nyumbani. Jioni ilipowadia Japhet baada ya kuona karibia Shemeji yake (Flora) atarudi hapa nyumbani akaamua kwenda kujifungia chumbani kwake kimya. Huku Rozi naye akiwa kwenye maandilizi ya chakula cha usiku.

Kwenye majira ya saa 1:30 za usiku Flora akawasili hapa nyumbani akitokea saloon kwake. "Yaani nimemmiss kweli Japhet natamani nimuone kila muda, kumkosa kumuona mchana kutwa kwangu ni adhabu kubwa" alijisemea Flora wakati akiingia ndani ya nyumba. 

Alipofika sebuleni akumkuta Japhet tofauti na mategemeo yake alitegemea labda angemkuta hapo anaangalia TV akaamua kwenda jikoni kumuuliza Rozi. Baada ya kufika jikoni akasalimiana na Rozi halafu akamuuliza: "Eti Shemeji Japhet yuko wapi?" Flora alimuuliza Rozi.

"Alikuwa yupo sebuleni anaangalia TV baadae nilimuona anaingia chumbani kwake" alijibu Rozi. "OK basi ngoja nikamuone hukohuko chumbani" alisema Flora na kuelekea chumbani kwa Japhet. "Yaani huyu mwanamke haoni hata aibu kutembea na Shemeji yake!?, mimi ananikera" Rozi alisema moyoni mwake huku akisonya. Wivu tayari ulishaanza kumvaa Rozi baada ya kumuona Flora amerudi hapa nyumbani. Flora akafika hadi kwenye mlango wa chumbani kwa Japhet na kuanza kubisha hodi. 

"Yaani huyu kijana Jana usiku amejua kunikuna kiukweli, na usiku huu wa leo lazima anikune tena niufaidi Utamu wake" alijisemea moyoni Flora huku akitabasamu na kumsubiri Japhet aje kumfungulia mlango. Mikononi mwake alikuwa amebeba mfuko Mkubwa wa Plasitic wenye zawadi alizomnunulia kijana Japhet ambaye ni Shemeji yake.

Japhet naye akiwa amejilaza kitandani aliweza kuisikia hodi hiyo ikibishwa hapo mlangoni kwake ikabidi anyanyuke kitandani na kwenda kufungua mlango.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"Nahisi Shemeji atakuwa amerudi" alijisemea moyoni Japhet huku akiufungua mlango huo. Na kweli Mara baada ya kuufungua mlango macho yake yakapata kumuona Shemeji yake Flora amesimama hapo mlangoni huku usoni mwake akiwa amejawa na tabasamu.

"Ooho Shemeji kumbe umerudi karibu sana" alisema Japhet huku na yeye pia akitabasamu. "Nimeshakaribia Shem wangu yaani nilikumiss sana baby, nimefurahi kukuona vipi uko poa?" Flora alimuuliza Japhet. "Mimi niko poa sijui wewe" Japhet alijibu. 

"Kama unavyoniona ndio nimerudi kufuata Yale mambo yako ya usiku wa Jana uliyonifanyia" alisema Flora huku akimrembulia macho Japhet. Wakati Japhet akiwa bado yupo anashangaashangaa hapo mlangoni akajikuta anasukukumiziwa kwa ndani na Shemeji yake huyo (Flora) na halafu mlango ukafungwa kwa ndani na Flora.

"Shemeji vipi tena mbona sikuelewi!?" Japhet aliuliza kwa mshangao.

"Usihofu utanielewa tu taratibu" alisema Flora huku akiketi kitandani kwa Japhet!.




ITAENDELEA

Powered by Blogger.