KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora Sehemu Ya Kumi na moja (11)

SIMULIZI NZURI YA KUSISIMUA
"Shemeji vipi tena mbona sikuelewi!?" Japhet aliuliza kwa mshangao.

"Usihofu utanielewa tu taratibu" alisema Flora huku akiketi kitandani kwa Japhet.

Japhet alibakia amesimama tu mle chumbani huku akimkodolea macho Shemeji yake Flora. "Vipi jamani mbona umesimama tu wima? hebu njoo basi Honey" alisema Flora kwa sauti ndogo ya kubembeleza. Japhet akashusha pumzi ndefu halafu akauliza: "Hivi Shemeji ni kwanini wewe unashindwa kujiheshimu?"

Japhet aliuliza huku akiwa amekasirika.

"Sio kama nashindwa kujiheshimu Japhet, tatizo ni wewe hapo unajitoa ufahamu" alisema Flora kwa kebehi.

"Najitoa ufahamu kivipi?" Japhet aliuliza.

"Usijifanye aujui Japhet, ina maana autambui kama mimi nakupenda?" Flora alisema huku akitabasamu. Japhet alibaki hoi bin taabani anajikuna kichwa chake.

"Kama ni kumpenda inabidi umpende mumeo aliyekuoa na sio mimi hapa" Japhet alisema. Flora akacheka sana baada ya kumsikia Japhet amesema hivyo halafu akamuuliza: "Kwani kuna tatizo gani nikikupenda na wewe? sasa ndio nishakupenda hivyo ukae ukijua" alisema Flora kwa majivuno flani hivi.

Halafu baada ya hapo akauweka juu ya Meza ndogo ule mfuko wa Plastic aliokuja uliokuwa na zawadi ambazo alimnunulia Shemeji yake Japhet.

"Hebu tuachane na hayo kwanza, njoo uangalie kuna zawadi hapa nimekuletea" alisema Flora huku akiufungua mfuko huo uliofungwa kwa Gundi maalumu. Ikabidi Japhet asogee jirani kabisa na kitandani alipoketi Flora na halafu akasimama.

"Mbona unasimama tena, si uketi hapa kitandani mbona unakuwa hivyo jamani?" aliuliza Flora kwa kulalamika huku sauti yake akiibana kwa kutokea puani.

"Panatosha tu hapa hapa hakuna shida" alisema Japhet huku akiungalia huo mfuko. Flora akaweza kuufungua na kutoa suruali mbili za Jean's pamoja na T-shirt zake mbili mpya kabisa na za kisasa zote zikiwa zimenunuliwa kutoka dukani.

"Mzigo wako huo nimekuletea mpenzi wangu, uvae na wewe upendeze" alisema Flora huku akimkabidhi nguo hizo Japhet. Kijana Japhet hakuweza kuikataa zawadi hiyo kutoka kwa Shemeji yake akaipokea.

"Ahsante sana Shemeji yangu nashukuru sana ni nguo nzuri kiukweli nimezipenda" alisema Japhet huku akitabasamu na kuziangalia vizuri nguo hizo alizoletewa.

"Kama umezipenda basi na mimi nimefurahi kusikia hivyo baby" alisema Flora na halafu akamkabidhi na Viatu aina ya Rabba pear mbili navyo vikiwa vipya.

Japhet hakuamini kama Shemeji yake amemnunulia vitu vyote hivyo. "Daah nashukuru sana Shemeji yangu Ahsante sana" alisema Japhet akimshukuru Flora.

"Nilikuambia ukiwa na mimi na ukikubali kunitimizia mahitaji yangu ya kimwili utafaidi vitu vingi sana, hayo ni mambo madogo tu bado sijakufanyia makubwa" alisema Flora. Japhet alipomsikia Flora amesema hayo mambo ya kumtimizia mahitaji yake ya kimwili ghafla akapoa na kuwa mnyonge. 

"Halafu kuna hii zawadi nyingine hapa, lakini sikupi sasa hivi nitakuja kukupa baadae nitakapokuja kuufaidi Utamu wako" alisema Flora huku akiufungua mkoba wake na kuitoa Simu kubwa ya kisasa aina ya Smartphone (Tachi) na kumuonyeshea Japhet na halafu akairudisha tena ndani ya mkoba.

"Usihofu nitakupa hiyo baadae usiku sana nikija humu chumbani kufuata burudani yako" alisema Flora halafu akanyanyuka hapo kitandani na kutaka kutoka humu chumbani kwa Japhet. Kabla ajatoka akamsogelea Japhet na kummwagia bonge la busu kwenye paji lake la USO.

”Mmmwaaaaa nakupenda sana Japhet " alisema Flora huku akitabasamu na halafu akafungua mlango wa humo chumbani na kuondoka zake huku nyuma akimuacha kijana huyo akiwa yupo ameduwaa na zawadi zake mkononi.

"Duuh mbona huu sasa ni mtihani mkubwa sana kwangu, nitaweza kweli kuviepuka vishawishi vya huyu Shemeji?" Japhet alijiuliza mwenyewe moyoni mwake na asipate jibu la hilo swali lake.

"Yaani kuniletea hizi zawadi za nguo na viatu pamoja na ile simu, lengo lake ni kuzidi kuniingiza zaidi mimi mtegoni au?" Japhet bado aliendelea kujiuliza. Baadae akaamua kuzihifadhi vizuri zawadi zile na akajilaza kitandani huku akiendelea kutafakari hivi visa vya Shemeji yake.



Flora naye baada ya kutoka chumbani kwa Japhet moja kwa moja akaingia chumbani kwake na kujifungia mlango.

"Nitahakikisha Japhet nazidi kumuweka kwenye himaya yangu, sitaki nimpoteze huyu kijana hata kama ni Shemeji yangu" alijisemea Flora huku akifungua mikanda ya Gauni lake alilolivaa na kulivua kabisa akalitupia kwenye sehemu anapohifadhia nguo chafu. Mwilini mwake akabakiwa na Chupi tu pamoja na Sidiria kwa juu kifuani halafu akajisogeza kwenye Kioo cha kabati na kusimama mbele ya kioo hicho.

"Sasa mwili wangu umepata mtu wa kuukuna, namkabidhi rasmi Japhet kazi ya kuusurubu atakavyo mwili huu" alisema Flora huku akiivua Sidiria yake na kuanza kuyatomasa matiti yake yenye ukubwa wa wastani. "Yaani Japhet kwa ile raha aliyonipa usiku wa Jana imenifanya nimsahau kabisa Mume wangu, kwa hakika kijana huyu amebarikiwa kipaji cha Mapenzi" aliendelea kujisemea peke yake Flora huku akijitomasa chuchu za matiti yake.

Mwishowe akaivua na chupi yake na halafu akafungua kabati la nguo na kutoa upande wa kanga moja na kuuvaa. Flora akatoka humo chumbani kwake na halafu akaelekea zake bafuni kwenda kuoga.

Huku Rozi naye kule jikoni alikuwa tayari ameshamaliza kupika chakula cha usiku na akakipeleka sebuleni na kukiandaa Mezani na kusubiri wote wajumuike kula.

Mawazo ya binti huyu (Rozi) ayakuacha kukoma ndani ya kichwa chake. Alianza kumuwaza kijana Japhet ndani ya fikra zake na kikubwa kilichomtesa ni kuhusu huyu bossi wake (Flora) kuingilia Penzi lake kwa kijana huyu (Japhet) aliyetokea kumpenda sana kupita kiasi ndani ya moyo wake. "Nitamshauri Japhet tuondoke hapa tukapange chumba huko mtaani ili tuyafurahie Mapenzi yetu kwa Uhuru, sijali kabisa kuhusu kazi nitaiacha" alijisemea Rozi moyoni mwake

Flora baada ya kumaliza kuoga akatoka bafuni na kurudi chumbani kwake akaanza kujipodoa na kujiremba akachukua Gauni jepesi jeupe la kulalia (Night Dress) na kulivaa mwilini mwake.

"Nataka nimuandae kabisa kisaikolojia Shemeji Japhet, ajue nini ninataka usiku huu kutoka kwake" alijisemea Flora huku akijitengeneza vizuri nywele zake ndefu kichwani. Halafu akaenda tena kujiangalia kwenye kioo na kutabasamu.
"Yaani huyu kijana sijui kaniroga hata sielewi, yaani muda wote naiwaza Mboo yake anitombe tu" alisema Flora na kuishia kuachia kicheko kidogo. Halafu akachukua kitenge na kujifunga kwa chini kwani kwa ndani ya Gauni hilo jepesi akuvaa Chupi kabisa. 

Kwa upande wa juu kifuani aliamua kuacha hivyohivyo Gauni hilo liyachore vyema matiti yake na chuchu zake nene zikapata kuonekana Live bila chenga kutokana na Gauni lake kuwa lenye kuonyesha kama vile kioo. Flora akatoka chumbani na kuelekea sebuleni kwa ajili ya kupata chakula cha usiku. "Rozi hebu nenda kamwite Shemeji Japhet chumbani kwake aje kula chakula" alisema Flora akimuagiza Rozi ambaye alimkuta amekaa sebuleni hapo. 

Basi Rozi akanyanyuka kwenye kochi na kwenda kumwita Japhet chumbani huku akimtafakari huyu bossi wake (Flora) na kumuona kama vile ni mwanamke Fulani asiyejiheshimu. Baada ya muda Rozi akarudi akiwa ameongozana na Japhet na wakaketi wote Mezani kwa pamoja tayari kwa kuanza kula chakula.

"Leo nataka nikupakulie chakula mimi mwenyewe mume wangu Japhet" alisema Flora huku akitabasamu na akijifanya kama vile anamtania Japhet.

Rozi akakasirika kwani alijua Flora alikuwa anamaanisha kweli na sio utani.

Ghafla akanyanyuka kwenye kiti na kuanza kuondoka. "Vipi Rozi mbona unanyanyuka ghafla kulikoni?" Japhet alimuuliza Rozi. "Sijisikii kula mnaweza tu kuendelea" alisema Rozi huku akiwa amenuna. Flora naye aliduwaa ikabidi aulize: "Ina maana umeandaa chakula kabisa wewe mwenyewe hapa, halafu unasema aujisikii kula una matatizo gani wewe binti?" Flora aliuliza. "Sina matatizo yeyote dada, basi tu nimejikuta hivyo" alisema Rozi na kuondoka hapo sebuleni akaenda chumbani kwake. Mezani akabakia Japhet na Shemeji yake Flora.

INAENDELEA
Powered by Blogger.