KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora Sehemu Ya Kumi na Mbili (12)

SIMULIZI NZURI YA KUSISIMUA
"Japhet naomba uniambie ukweli wako, umeshaanza mahusiano na huyu binti?" Flora alimuuliza Japhet. hata habari ya chakula na yeye hakuwa nayo tena Flora.

"Kwanini umeniuliza hivyo Shemeji?" Japhet naye akajikuta anauliza.

"Kuna kitu nimekihisi kipo kati yenu kinaendelea, naomba unipe jibu" alisema Flora. Japhet akashusha pumzi ndefu na halafu akasema: "Sikiliza Shemeji ngoja nikuambie kitu .." Japhet alianza kwa kusema hivyo. Flora akajiweka vizuri kumsikiliza Japhet anataka kusema nini!.





**************

Japhet akashusha pumzi ndefu na halafu akasema: "Sikiliza Shemeji ngoja nikuambie kitu .." Japhet alianza kwa kusema hivyo. Flora akajiweka vizuri ili kumsikiliza Japhet anataka kusema nini.

Hapo Japhet akajikuta anasita tena kuendelea kuongea kwa kuona kama vile akiongea ukweli kuhusu uhusiano wake na Rozi mbele ya huyu Shemeji yake basi anaweza kumuharibia kazi yake Rozi.

"Vipi tena mbona auongei? mimi nipo nakusikiliza" Flora alisema na kumzindua Japhet kwenye mawazo. Japhet akaweza kukohoa kidogo halafu akasema hivi: "Hapana Shemeji kitu kama hicho hakiwezekani kabisa kutokea, Rozi mimi namchukulia kama vile ni dada yangu" Japhet alisema. 

Flora akaachia tabasamu flani hivi la kulazimisha usoni mwake na kusema: "Japhet ujue mimi ni mtu mzima na haipendezi kunidanganya, huyu binti kususa kula chakula hapa maana yake nini au kwa vile nilisema leo chakula nitakupakulia mimi ndio amekasirika?" Flora akahoji kwa msisitizo. "Kuhusu hilo Shemeji mimi sijui, ninachojua Rozi ni kama dada yangu namuheshimu sana siwezi kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi kama unavyofikiria" Japhet alizidi kujitetea na kumdanganya Flora.

"Hayaa kama unasema hivyo lakini dalili ya mvua ni mawingu nitakuja tu kujua siku moja" alisema Flora kwa upole.

"Sasa Shemeji kwa mfano ukijua kama Rozi ni mpenzi wangu, wewe utafanya nini?" Japhet alimuuliza hivyo makusudi ili kumpima Flora atajibu nini. "Nikija kujua kama upo kwenye mahusiano na Rozi nitakachokifanya nakijua mimi mwenyewe, siwezi kukuambia hapa" Flora alisema na kuanza kupakua chakula kwenye sahani ambacho kilikuwa kimehifadhiwa ndani ya 'Hot pot' kubwa mezani hapo. Halafu taratibu wakaanza kula huku kila mmoja akiwa yupo kimya akiwaza lake moyoni. 

Kwa upande wa Japhet aliona ni bora alivyomdanganya Shemeji yake (Flora) kwa kutokusema ukweli ili kumlindia Rozi kibarua chake kisiote nyasi kwa kufukuzwa humu ndani ya nyumba. "Najua huyu Shemeji atanisumbua sana kuhusu hayo mambo yake ya mapenzi, lakini nitajitahidi kumuepuka na hivi vishawishi vyake" Japhet alijisemea moyoni huku akiendelea kula chakula. "Vipi sasa Shem kuhusu Yale mambo?" Flora aliuliza na kumzindua Japhet kwenye fikra zake.

"Mambo gani hayo tena Shemeji?" Japhet naye aliuliza. Flora alicheka kidogo na halafu akasema: "Ina maana umesahau mara hii? si kuhusu ile simu ambayo nimekununulia, pale mwanzo nilikuambia nitakuletea usiku chumbani kwako" Flora alisema huku akitabasamu. Japhet sasa akaona tayari Shemeji yake ameshaanza balaa lake. "Kwani Shemeji hiyo simu ni lazima uniletee chumbani? kama vipi si unaweza kuniletea hapahapa" Japhet alisema. 

Flora akacheka sana kicheko cha kejeli halafu akauliza: "Hiyo kukuletea hapahapa vipii, si nilisema nahitaji kuburudika na wewe usiku huu kimapenzi au ndio unajitoa ufahamu?" Flora alimuuliza Japhet. "Kama ni hivyo basi Shemeji hiyo simu na usinipe na zile zawadi zako nitakurudishia" alisema Japhet na kuonyesha msimamo wake.

"Eti nini unasemajee? yaani mimi nipate hasara ya kuvinunua vile vitu halafu unaniambia utanirudishia, nitavipeleka wapi hebu acha ushamba wako huko" Flora alisema. 

Basi Japhet hakuwa na neno la kusema tena akabakia kimya na kuendelea kula chakula huku akitafakari ni vipi ataweza kumuepuka Shemeji yake huyu aliyetawaliwa na Pepo zito la Ngono. Baada ya kumaliza kula chakula Flora akavikusanya vyombo vyote hapo mezani na kuviondoa. "Na huyu binti ni lazima nitajua kilichomfanya mpaka akakasirika na kususa kula chakula ni nini" Flora alisema huku akielekea jikoni kupeleka vyombo. 

Japhet alibakia hapo sebuleni akitafakari. "Yaani ukisikia balaa ndio hili sasa, hivi huyu Shemeji anataka kuniletea matatizo na kaka yangu si ndio enhe?" Japhet alijikuta akijiuliza yeye mwenyewe hivyo. "Hapa piga uwa huo upuuzi anaoutaka sipo tayari kufanya naye" alijisemea moyoni Japhet. Hapohapo akaanza kumfikiria Rozi jinsi alivyosusa kula chakula. 

"Mmh huyu binti naye ana wivu sana, yaani ndio kasusa kula kwa sababu ya Shemeji kusema kuwa atanipakulia chakula yeye?" Japhet alijiuliza na kucheka peke yake taratibu. Alijisikia fahari sana kuona anapendwa kiasi hiki na Rozi. Lakini kupendwa na Shemeji yake kulimkera sana Japhet.

Baada ya muda Flora akarudi sebuleni akitokea jikoni huku akiwa amebeba sahani mbili ndogo zilizojaa matunda ambayo yamekatwakatwa vipande na sahani moja wapo akamkabidhi Japhet.

"Chukua baby wangu ule uongeze Vitamin mwilini" alisema Flora huku akitabasamu. Japhet akaipokea sahani hiyo ya matunda. "Ahsante sana Shemeji yangu nashukuru kwa kunijali" alisema Japhet.

"Nisipokujali wewe baby nitamjali nani tena mwingine?" Flora aliuliza huku akichekacheka. Japhet naye akajifanya kucheka halafu akasema: "Si utamjali kaka yangu aliyekuoa" Japhet alisema.

Flora kusikia hivyo akakunja sura yake ghafla na kuubinua mdomo wake kwa dharau. "Basi naomba yaishe usianze kunikera Japhet na kuniondolea furaha yote niliyonayo juu yako" alisema Flora.

Basi Japhet akaamua kunyamaza na baada ya hapo akanyanyuka kwenye kochi na sahani yake ya matunda mkononi akamuaga Shemeji yake. "Sasa Shemeji ngoja mimi niende chumbani kulala tutaonana kesho Mungu akipenda" alisema Japhet. Flora akacheka sana halafu akasema: "Tutaonana kesho au baadae? nitakuja huko kwako muda sio mrefu sana nataka unisugue zaidi ya Jana unitoe Nyege zote" alisema Flora.

Hapo Japhet hakuweza kusema kitu chochote akaondoka na kuelekea chumbani kwake huku nyuma akimuacha Shemeji yake huyo (Flora) akimuangalia kwa macho ya matamanio. "Haki ya nani waliosema bora ukosee kujenga nyumba lakini usikosee kuoa wapo sahihi kabisa, hapa kaka yangu amekula hasara mke hana kauvaa mkenge duuh!" Japhet alijemea moyoni kwa masikitiko huku akiingia chumbani kwake. Akaiweka mezani ile sahani ya matunda na kutoka akaelekea chooni kwanza kwenda kukojoa mkojo. Alipofika huko chooni akalichomoa 'Gobole' lake ndani ya bukta na kuanza kurusha mkojo kwenye Sinki.

"Yaani siku mbili hizi nimewatomba kwa zamu Rozi na Shemeji Flora mpaka Mboo yangu imechubuka, nikiendelea sana si itakatika kabisa?" Japhet alijisemea huku akitabasamu. Baada ya hapo akarudi tena chumbani kwake na kujifungia mlango kwa ndani na ufunguo halafu akaichomoa funguo mlangoni na kuitupia juu ya meza. "Hapa hata akija huyu mwanamke asiyetosheka dawa yake ni kumchunia tu, simfungulii mlango asilani" alisema Japhet na halafu akaenda kuketi kitandani kwake akamalizia kula Yale matuñda na baada ya hapo akazima Taa ya humo chumbani na kupanda kitandani kwa ajili ya kulala usingizi huku akianza kumfikiria Rozi binti ambaye ametokea kumpenda ghafla kupita kiasi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Flora naye baada ya kubakia sebuleni peke yake akaamua kuzima TV na Taa ya hapo sebuleni pamoja na ya ukumbini halafu akaingia chumbani kwake kulala huku kicwani mwake akiwa na mahesabu makali sana ya kumuingilia Japhet kule chumbani kwake ili akafanye naye Mapenzi. "Usiku huu sikubali unipite hivihivi lazima Shemeji Japhet anikamue" alijisemea moyoni Flora huku akiwa anatabasamu. Akalivua lile Gauni jepesi (Night Dress) na kubakia mtupu kabisa halafu akazima Taa ya humo chumbani kwake na kupanda kitandani akiusubiria muda wake alioukusudia kumvamia kijana Japhet ufike. "Sasa hivi ndio kwanza saa Nne za usiku, nasubiri ifike saa Saba niende nikamfaidi yule kijana" alijisemea Flora huku akiangalia majira ya saa kwenye simu yake kubwa.

Kwa upande wa Rozi naye kule chumbani kwake Mara baada ya kususa kula chakula pale mwanzo. Aliingia chumbani moja kwa moja na kujibwaga kitandani kwake na kuanza kulia machozi akijihisi kudhulimiwa Penzi lake kwa kijana Japhet na bossi wake Flora. "Sasa mbona yeye ana mume wake lakini aridhiki hadi amchukue na Japhet jamani?" Rozi alijiuliza huku machozi yakimtiririka.

"Sikubali usiku huuhuu nitaenda chumbani kwa Japhet kumshauri kama ikiwezekana hata kesho nimpe pesa akatafute chumba tuhame humu ndani na sisi tuwe na maisha yetu ya kujitegemea" alijisemea moyoni Rozi. Akavuta shuka na kujifunika huku akisubiri usiku uwe Mkubwa sana aende chumbani kwa Japhet akamgongee mlango ili amshauri hivyo kwa muda huu Rozi alijikuta ghafla ametokea kumchukia bossi wake (Flora) kwa sababu ya Penzi la kijana Japhet.



Hatimaye majira ya saa Saba za usiku yaliweza kufika. Flora akajiinua kitandani taratibu na halafu akaaimama chumbani humo na kujisemea: "Sasa muda wangu wa kwenda kuufaidi Utamu wa Shemeji umefika" alisema Flora kwa sauti ndogo huku akitabasamu. Halafu akaenda kabatini kwake akalifungua kabati hilo analolitumia kuhifadhia nguo zake na kuuchukua upande wa kanga moja na kuuvaa mwilini mwake. "Naenda kuufaidi Utamu kwa raha zangu, huyo mume wangu na hicho Kibamia chake atajibeba" alijisemea Flora huku akiyabinyabinya matiti yake na kuyanyanyua mpaka mdomoni mwake na kuanza kujinyonya chuchu zake yeye mwenyewe ili kujitia Nyege zaidi. Baada ya hapo akaichukua ile Simu aliyomnunulia Japhet na kuishika mkononi halafu akatoka chumbani humo kwa mwendo wa kunyata. Alipofika usawa wa ukumbini kama vile alikuwa amekumbuka kitu. "Najua atakuwa amejifungia mlango kwa ndani ili mimi nisiingie, ajui kama ule mlango una funguo mbili" alisema Flora huku akitabasamu na kurudi tena chumbani kwake kuichukua hiyo funguo ya Pili ambayo ni ya kuingilia chumbani kwa Japhet. Baada ya kuipata funguo hiyo akaenda moja kwa moja mpaka mlangoni kwa Japhet na kuzungusha kitasa cha mlango akakuta umefungwa kwa ndani.

"Nilijua tu kama atajifungia ili kunikwepa mimi, sasa ngoja nimuonyeshe mchezo" alijisemea Flora na halafu akachukua ile funguo yake na kuiingiza kwenye kitasa na kuufungua mlango huo ambao ulikubali kufunguka bila ya kipingamizi.

Flora akatabasamu na kujiona mshindi akaingia chumbani kwa Japhet taratibu na kuufunga tena mlango kwa ndani.

Kwa muda huo kijana Japhet alikuwa ameshapitiwa na usingizi amelala hana hata habari kama tayari ameingiliwa na Shemeji yake. Kutokana na Giza ambalo Flora alilikuta humu chumbani ikabidi awashe Taa kwa kupitia 'Switch' ya ukutani ambapo Nuru ya kutosha ikapata kutokea chumbani humo na Japhet akaonekana hapo kitandani Live bila chenga akiwa amelala na kukoroma.

Flora akajikuta anatabasamu baada ya kumuona Japhet akajihisi mwili wake unaanza kumnyevua kwa Nyege na hisia Kali za kimapenzi zikimpanda Ghafla.

"Khaa! hivi jamani mimi nna nini mbona nashindwa kujizuia pindi nimuonapo huyu kijana?" Flora alijiuliza hivyo huku akiuruhusu upande wa kanga uliomsitiri mwlini udondoke chini na kumuacha yupo Uchi kabisa halafu taratibu kwa mwendo wake wa mapozi akaanza kusogea kitandani alipolala kijana Japhet huku akijitomasamasa kimahaba Flora!.

INAENDELEA
Powered by Blogger.