KARIBU USOME HADITHI NZURI ZA KUSISIMUA

Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora Sehemu Ya Kumi na tatu(13)

SIMULIZI NZURI YA KUSISIMUA
"Khaa! hivi jamani nna nini mbona nashindwa kujizuia pindi nimuonapo huyu kijana?" Flora alijiuliza hivyo huku akiuruhusu upande wa kanga uliomsitiri mwilini udondoke chini na kumuacha yupo Uchi kabisa halafu taratibu kwa mwendo wake wa mapozi akaanza kusogea kitandani alipolala kijana Japhet huku akijitomasamasa kimahaba Flora.

Taratibu Flora akaweza kusogea mpaka kitandani alipolala kijana Japhet ambaye hakuwa anajua kama muda huu alikuwa ameingiliwa humu chumbani na huyu Shemeji yake. 

Bahati nzuri Japhet hakuwa ameteremsha Neti (Chandarua) hapo kitandani kwa sababu alifuñgulia Feni iliyokuwa ikipuliza upepo wa kutosha na kuwakimbiza kabisa wale wadudu wanaosababisha ugonjwa wa malaria.

Flora akaketi kitandani taratibu na halafu akamuangalia sana Japhet aliyekuwa bado anakoroma na usingizi. 

Flora akausogeza mdomo wake mpaka usawa wa mdomoni kwa Japhet na kuanza kumnyonya denda kijana huyo. Japhet akashtuka usingizini na kushangaa kumuona Shemeji yake Flora ameingia mle chumbani tena mbaya zaidi akiwa yupo mtupu kama alivyozaliwa hana nguo mwilini. "Shemeji nini unafanya na humu chumbani umeingiaje?" Japhet aliuliza huku akijiinua na kuketi kitandani hapo na kuzidi kumshangaa Shemeji yake huyo.

"Ulipojifungia kwa ndani na ufunguo ulidhani nitashindwa kuingia si ndio enhe?" Flora naye aliuliza kwa kebehi.

"Shemeji naomba uondoke haraka sana humu chumbani" Japhet aliunguruma.

"Niondoke vipi na wakati nimekuja kufuata burudani yako, au ndio tayari umeshaanza kujitoa ufahamu?" Flora aliuliza. Japhet akashusha pumzi ndefu na kusema: "Hapana Shemeji kwa hilo halitawezekana kabisa, tulichokifanya siku ile ni Bahati mbaya tu imetokea sitaki tena kumkosea na kumvunjia heshima kaka yangu" Japhet alisema kwa sauti ndogo na yenye msimamo. Flora akacheka sana tena kicheko cha dharau na halafu akaaema: 

"Unajifanya una heshima sana kwa kaka yako enhe? sasa sikia humu ndani sitoki mpaka unisugue" Flora alisema na kuanza kumvamia Japhet mwilini mwake na kumlazimisha kumnyonya denda kwa lazima. Japhet naye akukubali kiurahisi jambo hilo litokee akajitahidi kujinasua kwenye himaya ya Shemeji yake huyo ambaye tayari Pepo lake la Ngono lilikuwa limeshamkamata ile kisawasawa. "Japhet unajifanya mjanja kunikomalia si ndio?" Flora aliuliza kwa hasira.

"Ndio sasa nakukomalia na sitaki kufanya mapenzi na wewe, hebu jiheshimu kumbuka wewe ni Shemeji yangu" Japhet alisema kwa hasira. Flora akatabasamu na kusema: "Sawa nimekuelewa naona umeamua kujifanya mjanja sasa tutaona humu ndani ya hii nyumba nani mjanja" Flora naye alisema kwa hasira huku akinyanyuka kitandani kwa Japhet na kuiokota kanga yake iliyokuwa chini na halafu akaivaa tena. 

Kumbe wakati haya yakiwa yanaendelea humu chumbani Rozi alikuwa yupo ukumbini amesimama nje ya mlango wa chumbani kwa Japhet anasikiliza. Kule ndani napo Flora alikuwa amekasirika sana baada ya kunyimwa kupewa Utamu na Japhet. "Yaani sio siri Japhet nilikuwa nimejiandaa kwa ajili ya kufurahi usiku huu na wewe lakini umejifanya kunizingua haya tutaona" alisema Flora na kuelekea mlangoni ili apate kutoka humu chumbani. Japhet alibakia kimya huku akiwa àmekasirika.

Flora alipofika mlangoni akasimama na kumuangalia Japhet halafu akasema: "Najua kinachokupa ujeuri ni hilo Penzi lenu na Rozi mlilolianzisha, sasa tuone kama mtafika mbali" alisema Flora na kutoka chumbani kwa Japhet huku akiichukua ile funguo aliyokuja nayo.

Baada ya Flora kuwa ameshatoka Japhet akanyanyuka kitandani na kwenda hadi mlangoni kuufunga tena mlango vizuri na kuzima Taa ya humo chumbani. "Huyu Shemeji naye sijui ana mapepo yaani analazimisha kufanya mapenzi na mimi? siwezi kurudia tena ujinga kama ule" alijisemea kijana Japhet huku akipanda kitandani kuutafuta tena usingizi.

Rozi naye baada ya kumsikia Flora akitaka kutoka chumbani kwa Japhet muda ule akarudi haraka chumbani kwake na kujificha ili Flora asimuone pale ukumbini alipokuwa anasikiliza. 

"Nilikuwa nataka kwenda chumbani kwa Japhet ili tukapange namna ya kuondoka humu ndani, lakini basi siendi tena tutaongea vizuri kesho baada ya dada Flora kwenda saloon kwake" alijisemea Rozi huku akipanda kitandani na kujiandaa kulala. 

Kilichomfariji Rozi ni vile alivyomsikia Japhet akimuwekea ngumu Shemeji yake juu ya kufanya naye mapenzi. "Yaani huyu mwanamke sijui ana nini mpaka anamganda Japhet wangu? na wakati yeye ana mume wake wa ndoa ameolewa anashindwa kujiheshimu!" Rozi alibakia anashangaa na kujiuliza hivyo kitandani.

Flora naye baada ya kutoka chumbani kwa Japhet akaweza kurudi mpaka chumbani kwake na kujifungia mlango huku akiwa amekasirika sana. "Siamini kama nimekosa kulifaidi Penzi la Shemeji Japhet usiku huu" alisema Flora huku akizungukazunguka ovyo humo ndani ya chumba chake anacholala na mumewe Lukasi ambaye ndie kaka yake na Japhet aliyopo safarini Mwanza. 

"Siwezi kukubali kulikosa Penzi la Japhet hata kidogo, ngoja nimtimue Rozi hapa nyumbani ili nibakie na Shemeji Japhet niendelee kuufaidi Utamu wake yaani amenionjesha siku moja na kunidatisha huyu kijana mpaka nimeweza kuisahau michepuko yangu yote ya nje" alisema Flora huku akipanda juu ya kitanda na kujifunika shuka. Mwili wake nao bado aukuacha kumnyevua kwa Nyege na Mwanaume aliyekuwa anamtaka kwa wakati huu ni Japhet tu na sio mwingine yeyote. 

"Hizi Nyege sasa haki ya nani zitaniua jamani, Khaa! Japhet hivi kwanini unanitesa mimi mwenzio?" Flora alijiuliza peke yàke huku akijiiñgiza Vidole ndani ya 'K' yake ambayo tayari ilikuwa imeshalowana. "Kesho asubuhi nitalianzisha kwa Rozi aniambie sababu ya kususa kula chakula ni nini halafu ndio nipatie chanzo cha kumtimua kazi hapohapo" alisema Flora huku akijaribu kuutafuta usingizi kwa usiku huo na kubakia akigalagala tu hapo kitandani huku akijihisi kama ana wadudu wadogowadogo wanamnyevua mwilini.



Asubuhi na mapema ya siku nyingine iliyofuatia nayo ikaweza kuwadia Rozi kama kawaida yake ndio anakuwa mtu wa kwanza kabisa kwa ajili ya kufanya kazi za hapa nyumbani ikiwemo usafi wa mazingira na kuosha vyombo pamoja na kazi nyinginezo. Hivyo wakati akiwa yupo uwani anaosha vyombo ndipo bossi wake Flora akapata kutokea uwani hapo.

"Shikamoo dada" Rozi alimsalimia Flora.

"Sina shida na shikamoo yako, nataka uniambie ni kitu gani kilichokufanya Jana usiku ukasusa kula chakula pale mezani" alisema Flora. Rozi akabakia kimya tu.

"Naongea na wewe Rozi, niambie sasa" Flora alisema kwa ukali. "Hapana dada hamna kitu basi tu nilijisikia nimeshiba" alijitetea Rozi kwa upole. Flora akacheka kwa dharau na kuubinua mdomo wake halafu akasema: "Unajifanya una wivu sana juu ya Japhet si ndio enhe? yaani mimi niliposema nitampakulia chakula wewe ndio ukakasirika" alisema Flora.

Rozi alinyamaza kimya na kujiinamia.

Mara ghafla akatokea Japhet akiwa na mswaki wake mkononi. "Vipi tena Shemeji kwani kuna nini hapo?" Japhet aliuliza baada ya kuhisi mambo sio shwari. "Hamna kitu Shemeji Japhet, vipi habari za asubuhi?" Flora alijifanya kusalimia huku akitbasamu. "Za asubuhi nzuri Shemeji, vipi na wewe umeamkaje?" Japhet aliuliza. "Mimi ndio nimeamka hivyohivyo kama ulivyoniacha Jana" alijibu Flora huku akitabasamu na halafu akamkonyeza Japhet. Hapo Japhet akaelewa kuwa hiyo alivyosema kuwa ameamka hivyohivyo kama alivyomuacha Jana ni vile alivyomkatalia kufanya naye mapenzi. Japhet akampuuza Shemeji yake huyo na kuendelea kupiga mswaki.

"Nataka uniandalie jibu la swali langu, ni kwanini Jana usiku ulisusa chakula" Flora bado aliendelea kumuandama Rozi huku akisema kwa sauti ya chini na halafu akaondoka kurudi ndani. 

Huku nje uwani walibakia Japhet na Rozi bila hata ya kusemeshana kwani walijua Flora kama ataondoka hapa nyumbani kwenda kule saloon kwake basi watapata nafasi ya kuongea vizuri. Baada ya muda wote wakakutana mezani kwa ajili ya kunywa chai asubuhi hii ya leo Flora akaona hapahapa alianzishe kwa huyu binti Rozi ambaye alimuhisi kuwa ni kikwazo kwa Shemeji yake Japhet mpaka yeye (Flora) anakosa kuufaidi Utamu wa kijana huyo kwa Mara nyingine tena. "Hayaa bi dada nataka jibu langu la wewe Jana kususa kula chakula" Flora akamkumbushia Rozi. "Lakini Shemeji hayo si yameshapita tangu Jana sasa ya nini kuyakumbushia tena?" Japhet aliingilia kati na kuhoji.

"Shemeji Japhet naomba unyamaze, Jana kama unakumbuka nilikuuliza swali juu ya uhusihano wako na Rozi upoje ukaishia kunidanganya, sasa leo ngoja nimuulize huyu binti" alisema Flora na kumgeukia Rozi halafu akasema: "Tuachane na hilo jambo la kususu kula, naomba uniambie uhusiano wako wewe na Japhet upoje?" Flora alimuuliza Rozi huku akimkazia macho yake. Rozi kwanza akamuangalia Japhet usoni halafu akatabasamu na kumuangalia Flora bila hata ya kupepesa macho Rozi akamjibu: "Japhet ni mpenzi wangu na nampenda sana kutoka ndani ya moyo wangu" Rozi alijibu kwa kujiamini. 

Flora akapatwa na mshtuko akataka kumuambia kitu Rozi lakini akajikuta anapatwa na kigugumizi cha kuongea. "Wewe Rozi una kichaa nini, unasema mimi ni mpenzi wako tangu lini tukawa wapenzi!?" Japhet alijifanya kuuliza kwa ukali. Rozi akatabasamu na kusema: "Japhet ya nini sasa uendelee kuficha maradhi na kupata usumbufu kwa huyu Shemeji yako? bora tumwambie ukweli ajue aaçhe kukusumbua baby" alisema Rozi. Japhet alibakia hoi bin taabani hakutegemea kabisa kama huyu binti (Rozi) angesema ukweli wote. Flora akajikuta anapandwa na hasira huku wivu ukimsokota moyoni mwake kwa kusikia Rozi amesema hivyo. Taratibu Flora akamgeukia Japhet na kusema hivi .... !.

Powered by Blogger.